Tundu Lissu: Nina kesi 6 Mahakamani nikihusishwa na uchochezi lakini hazininyimi sifa ya kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tundu Lissu mwenyewe amefafanua juu ya kesi zinazomkabili pale Mahakama ya Kisutu na kwamba kesi hizo hazimuondolei sifa ya kupigiwa kura na kuwa Rais wa JMT.

Amebainisha kuwa hilo liko wazi kabisa katika katiba ya nchi yetu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndugu, wewe una maoni gani au una-report tu alichokisema bila maoni ?
 
Wajumbe 89% wanaona kwa sasa Lissu sio muda muafaka yeye kuwa mgombea.
 
Mandela alihukumiwa na kutiwa hatiani kwa kosa la ugaidi na bado akawa elligibke kugombea uraisi! CCM ni zaidi ya makaburu!
 
ANGESEMA SIFA YA KUWA MGOMBEA, NA SIO RAIS NI WATANZANIA WANGAPI WATAMPIGIA KURA LISSU AWE RAISI? CCM IMETOA MAJINA 264 YA WAGOMBEA UBUNGE JE CHADEMA WAMETOA MANGAPI? TARAJIA KUONA WABUNGE ZAIDI YA 200 WAKIWA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…