Hayo mapendekezo yana muda mrefu kweli kwenye hiyo sekta ya madini, ila ndio mmeanza kuamka sasa mnadhani mmepatia. Huyo Lisu hayo mnayoyaona leo kayaona miaka mingi nyuma, ila kwakuwa mnaongoza watu wengi wenye ufahamu mdogo, mkiwahadithia wanadhani ni jambo jipya.