Sauti ya lissu kesho itafika mbali sana
kila mwanasiasa awamu hii kuelekea uchaguzi mkuu anaruhusiwa kuongea na kijinadi katika vyombo vya habari vya ndani,na vya nje,lkn hakika nakwambia kesho tundu lissu akiongea na waandishi wa habari,habari zake zitasambaa nchi nzima kama moto unaunguza misitu,habari zake zitasambaa duniani kote kwa muda mfupi sana
Kesho habari ya tundu lissu itashika usukani wa kuwa habari kubwa kuliko zote kwa muda zaidi ya wiki moja au wiki 2
Sauti ya lissu kesho itasikika kila pande ya dunia hii,ni saa 8 mchana muda wa afrika ya mashariki
Tega sikio lako mapema