Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

kesho utaona na Magufuli ataongea ili kuzima habar za lisu au kutakuwa na bonge la kiki kutoka kwa wasanii wa CCM na msije kushangaa Amber Rutty, Diamond Platnumz na Kiba Wametoa Pornvideo Yao.
Watoe tu..sisi masikio yetu ni kwa Lissu tu
 
Sauti ya lissu kesho itafika mbali sana
kila mwanasiasa awamu hii kuelekea uchaguzi mkuu anaruhusiwa kuongea na kijinadi katika vyombo vya habari vya ndani,na vya nje,lkn hakika nakwambia kesho tundu lissu akiongea na waandishi wa habari,habari zake zitasambaa nchi nzima kama moto unaunguza misitu,habari zake zitasambaa duniani kote kwa muda mfupi sana
Kesho habari ya tundu lissu itashika usukani wa kuwa habari kubwa kuliko zote kwa muda zaidi ya wiki moja au wiki 2
Sauti ya lissu kesho itasikika kila pande ya dunia hii,ni saa 8 mchana muda wa afrika ya mashariki
Tega sikio lako mapema
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
Acha nature ichukue nafasi yake,kama yupo smart enough hivyo mnavyotuaminisha atavuma tu bila hizo promo mlizokomalia toka asubuhi.Else mtakuwa kama mnalazimisha waTz wamwangalie.
 
Hana jipya hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakae poteza muda kumsikiza atawapata misukule ya ufipa tu
 
Naona moderators washauficha uzi wa onyo kwa wale watakaosambaza hotuba ya Lissu.
 
Tushatoa onyo,marufuku kusambaza hiyo hotuba.

Kesi ya uchochezi utakutana nayo.
 
Ngoja tusubiri lakini mkumbuke Makonda kesho anaongea na vyombo vya habari
 
Vile Lissu anavyosumbua Magufuli, Mbatia, Lipumba, Tume ya Uchaguzi, Supika, Mahakama na Mapolisi.
 
Attachments

  • ccm.jpg
    ccm.jpg
    105.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom