Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.

Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.

je, mtandao wa internet utazimwa?

JF itakuwa haifunguki?

nawaza tu.

Inchaji.
TCRA lazima watekeleze maagizo kutoka juu!
 
kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.

Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.

je, mtandao wa internet utazimwa?

JF itakuwa haifunguki?

nawaza tu.

Inchaji.
Hata wakizima tuta kutana nayo U tube..
Na dunia its kuwa ime pata ujumbe
 
kesho ndo kesho. simba wana mwamba wa lusaka. sisi tuna mwamba wa Tanzania.

Lissu atanguruma kesho. kuweka mezani mbivu na mbichi kuelekea uchaguzi mkuu.

je, mtandao wa internet utazimwa?

JF itakuwa haifunguki?

nawaza tu.

Inchaji.
Yaani nyie mafala hamkomi tuu na hadithi zenu zisizoisha hizo mara anakuja mara ohh anaharisha hawezi kuja.
 
Back
Top Bottom