Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Ataleta ushindani mitandaoni sababu hakuna taifa lililopo facebook. Juzi nilikuwa na wamasai, hii nchi ni kubwa sana.
 
Nan kauza nchi?ndiomana yule balozi wenu japo yupo nchi kubwa alishindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi acha uzumbukuku ww
Wewe na mimi nani mshamba? Wewe unamshabikia mtu anaye uza nchi yako kwa sababu ya madaraka?

Wewe unafikiri nchi yako ikiuzwa utaishi wapi? Unafikiri wazungu watakuja kuijenga Tanzania kuwa kama Ulaya? Kama una mawazo ya aina hiyo, Aisee nasikitika umesha kuwa mfu. Huna maisha tena. Wewe ni mtu wa kuzikwa mzima mzima wakati bado unapumua.

Wewe ni sokwe kuliko hata sokwe mwenyewe. Hata sokwe hayuko tayari kuuacha msitu wake uvamiwe na predators. Atatumia uwezo wake wote kuulinda msitu wake, lakini wewe na domo baya Lissu mko tayari maeneo yenu ambayo mbabu zenu wamepoteza hata maisha yao kwa ajili yenu kirahisi na kwa hiari yenu kuwaachia mbwa mwitu.

Nani mshamba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, nishanunua bando tiari nasubiria nondo toka kwa Rais wa watanzania.
 
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.

14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
View attachment 1469670
View attachment 1469366

Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
 
Kura yangu atapata japo kushinda ni mbinde
 
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
Tumain you
tenor.gif
 
Mh. Tundu Antipas Lissu atazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook na YouTube Live Streaming.

YouTube Link:

Hon. Tundu Antipas Lissu to address the nation and world on Monday, June 8, 2020 via Facebook and YouTube Live Streaming. Hon. Lissu will use two languages, Kiswahili and English.

Kiswahili: 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA).

English: 15:00 EAT 14:00 CET 8:00AM EST (USA).

Image 6-6-20 at 4.55 AM.jpg

Image 6-6-20 at 5.13 PM.jpg
 
Siku hiyo na muda huo, mitandao yote inaweza kuzimwa na yule malaika au internet hapa Bongo zikageuka changamoto kwa watumiaji.
 
Tundu Lisu is not a presidential material he has no.money ,his party has no money and he and his party don't have people's agenda .They are selfish ,they have their own agenda not people's agenda

Mtakutana kwenye kampeni mkaseme haya...

About money;

Take and remember this;

Money can buy anything - fancy cars, houses, guns to kill, bribe people etc;

But you can never bribe the Almighty God to change decision he had made...!!

If he has already decided Tundu Lissu to lead this beautiful nation, no amount of money can change it....

If he has already decided to end the life of CCM as a political party, then no amount of money can change that....!!
 
Sema utazungumza na mashoga sio sisi watanzania
FB_IMG_1591479815656.jpeg

Uyarudie yale ulioyatamka ukiwa marekani kuhusu ndoa za jinsia moja!
 
Mtakutana kwenye kampeni mkaseme haya...

About money;

Take and remember this;

Money can buy anything - fancy cars, houses, guns to kill, bribe people etc;

But you can never bribe the Almighty God to change decision he had made...!!

If he has already decided Tundu Lissu to lead this beautiful nation, no amount of money can change it....

If he has already decided to end the life of CCM as a political party, then no amount of money can change that....!!
Today you pretend to know God in 2015 you said you are ready to get satanic help if he will help chadema win election
 
Hivi watanzani wangapi wapo facebook na twitter??
 
Back
Top Bottom