PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
DUNIA yote itasimama siku ya jumatatu kusikiliza hotua ya Raisi wetu mtarajiwa MH TUNDU LISSU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kwa nini Magu anamwogopa sana LISSU?
Tundu Lisu sio mzungumzaji mzuri wacha aongee tuje wenyewe wachambuzi mahiri tumuumbue Baada ya yeye kuzungumzaKabla hata ya kujua utazungumza nini? Approach unayoitumia itakuumiza badala ya kikujenga, itatoa maswali mengi kuliko majibu, itawapa wapinzani wako hoja kuliko hoja utazozijenga
sometimes jamaa wanatumika vibaya sana mpaka wanajisahau.Azungumze na Taifa? Kama nani?
Kazi ya Magufuli sio kujenga hoja Ni kujenga nchi na anaijenga kweli kweli nyie na Lisu wenu kaeni na porojo zenu za midomoni.Wananchi wanahitaji mjenga nchi sio mjenga hoja!!!!!Kwakuwa hawezi kujenga hoja kama Lissu.
Tundu Lisu sio mzungumzaji mzuri wacha aongee tuje wenyewe wachambuzi mahiri tumuumbue Baada ya yeye kuzungumza
Ila kwa nimjuavyo Baada ya kuongea chadema ijiabdae kudhalilika hayuko vizuri ujenzi wa hoja nzito zenye mvuto na ushahidi Zitto Kabwe pamoja na uongo wake ana nafuu kuliko Tundu Lisu sababu siku moja moja huweka takwimu na ushahidi Lisu hamna kitu atatoa mimacho tu na Hotuba lisilo na mbele Wala nyuma
Kazi ya Magufuli sio kujenga hoja Ni kujenga nchi na anaijenga kweli kweli nyie na Lisu wenu kaeni na porojo zenu za midomoni.Wananchi wanahitaji mjenga nchi sio mjenga hoja!!!!!
Lisu ambaye hata nguo za kuvaa na Kodi ya nyumba ubelgiji anaomba michango!!!!
Hiyo kampeni ya uraisi ataiweza wapi
Hotuba yake bila Shaka ataomba chadema wamchangie nauli ya kurudi Tanzania
Unalinganisha zama za kale na Leo? Bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziKama Nyerere alichangiwa nauli ya kwenda UNO na wala hakuwa amepigwa risasi hata moja, kuna ajabu gani kwa Lissu kuchangiwa?
Chadema kinaitwa chama Cha demokrasia na maendeleo swali maendeleo gani mliyoyafanya Kama chama miaka yote ya uhai wake wakati hata jengo lenu time la makao makuu hamjawahi Jenga pamoja na mabilioni ya ruzuku pesa za walipa Kodi mlizopewaKwani Magufuli anajenga kwa mshahara wake, mtu yoyote atakayekuwa rais ni lazima afanye maendeleo kwa kiwango chake. Kama maendeleo yanaletwa na mtu yoyote, muulize Kikwete na Mkapa wamejenga barabara kilomita ngapi baada ya kutoka madarakani?
Unalinganisha zama za kale na Leo? Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Atarudi week moja kabla ya Kampeni za Uzinduzi, pata picha karudi week moja kabla ya Uzinduzi hafu Raia wanaambiwa Tundu Lissu atafungua Kampeni Kesho yake Jangwani, jaribu kuhisi hilo Nyomi lake.Atakua ni Rais wa kwanza kutawala nchi huku akiwa anaishi kwenye nchi nyingine. Arudi sasa Tanzania aje apambane na Swahiba wake Magufuli.
Chadema kinaitwa chama Cha demokrasia na maendeleo swali maendeleo gani mliyoyafanya Kama chama miaka yote ya uhai wake wakati hata jengo lenu time la makao makuu hamjawahi Jenga pamoja na mabilioni ya ruzuku pesa za walipa Kodi mlizopewa
Kwa hiyo kukaa nyumba ya kupanda chadema ndio maendeleoNi kweli cdm kutokuwa na jengo lao la ofisi haipendezi na hilo halina mjadala. Lakini hata wangekuwa na ofisi ndio yangekuwa maendeleo hayo? Kipimo cha chama kuleta maendeleo ni pale wanaposimamia hazina fullstop.
Sisi tunaojua mambo na tusiopumbazwa, tunajua kabisa camera ziliondolewa kwa maagizo ya mungu wa Tanzania.
Kwa hiyo kukaa nyumba ya kupanda chadema ndio maendeleo
UNGESEMA UNAAMINI HIVYO NA UNA HAKI YA KUAMINI HIVYO JAPO HUNA HAKI YA KUJUA KISICHOKUWEPO