Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

Atapata taabu sana. Harakati za kampeni ni ngumu mno, kuzunguka nchi nzima, mikutano ya muda mrefu, kusimama na mic, kurukaruka na ikibidi kupiga pushups
 
Atapata taabu sana. Harakati za kampeni ni ngumu mno, kuzunguka nchi nzima, mikutano ya muda mrefu, kusimama na mic., kurukaruka na ikibidi kupiga pushups
Kuongoza nchi ni pushup ngozi nyeusi ina shida kichwani
 
sometimes jamaa wanatumika vibaya sana mpaka wanajisahau.Azungumze na Taifa? Kama nani?
Yani wewe umezaliwa kwa mtangole hata nusu ya katiba yako ya nchi haipo kichwani

Unawezaje kusema Lissu anatumika?

Ni bora ukae kimya kuliko Ujinga unaousema.
 
Mbona wewe hujaheshimu mawazo yake? Au unataka mawazo ya huyo kibalaka wenu pekee ndiyo yaheshimiwe!!
Mkuu penda kusoma kitu then tafakari , nimesema
"Ni vizuri kuheshimu mawazo ya kila mtu ila ni dhambi kuheshimu upumbafu"

Nasema ni dhambi kuheshimu upumbafu

Majibu yake yameendana na Ujinga Wake.
 
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.

14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA) View attachment 1469366
Agenda 2020-2025 kutoka kwa mtu safi, makini, mwenye kuaminika na pia kujali haki za wanadamu, demokrasia ya kweli na anayeichukia rushwa kwa dhati.
 
Usipoteze muda wako bure ........Tupo busy kujenga Taifa letu na Rais wetu JPM.
Kujenga Taifa? Wakati watu wapo hoi!!! Ni ujinga wa maisha, Yani familia yako inakwenda kuwa tengemezi kwa kutofikiria. Nonsense kabisa
 
Hahaha...sijui hawa watu wanatuchukuliaje, kwanini asiseme atahutubia marafiki zake wa Facebook? anahutubia watanzania kama nani? ulemavu wa juu ni shida sana.
Ulemavu wa akili ni ulemavu wa kijinga sana!!
 
Safi sana, Jumatatu June 8 2020 tujongee kwa wingi kumsikiliza Kamanda Tundu Antipas Lissu, Rais mtarajiwa wa Tanzania
 
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.

14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA) View attachment 1469366
Kabla hata ya kujua utazungumza nini? Approach unayoitumia itakuumiza badala ya kikujenga, itatoa maswali mengi kuliko majibu, itawapa wapinzani wako hoja kuliko hoja utazozijenga
 
Mkuu penda kusoma kitu then tafakari , nimesema
"Ni vizuri kuheshimu mawazo ya kila mtu ila ni dhambi kuheshimu upumbafu"

Nasema ni dhambi kuheshimu upumbafu

Majibu yake yameendana na Ujinga Wake.
Kwako wewe utaona ni upumbavu but kwake yeye kaona ni mawazo bora hivyo yaheshimu
 
Lisu ambaye hata nguo za kuvaa na Kodi ya nyumba ubelgiji anaomba michango!!!!
Hiyo kampeni ya uraisi ataiweza wapi

Hotuba yake bila Shaka ataomba chadema wamchangie nauli ya kurudi Tanzania
 
Ukienda kisheria kachemka kaanza kampeni kabla chama kumteua ugombea akiteuliwa mwingine itakuwa vipi? Kajiandaa kisaikolojia naona anakwenda kichwa kichwa .Mbowe kwa kubadili gia angani ndio mwenyewe
 
Hivi ni mimi sielewi ama ??ni ujumbe falke huu...eti "nazungumza na Taifa"?yeye ni nani anataka kuhutubia taifa?
 
HAKUNA CCTV ILIYOONDOLEWA POPOTE. NI HOJA ZA KIPUUZI ZINAZOJENGWA KUWAPUMBAZA WASIOJUA KITU

Sisi tunaojua mambo na tusiopumbazwa, tunajua kabisa camera ziliondolewa kwa maagizo ya mungu wa Tanzania.
 
Ukienda kisheria kachemka kaanza kampeni kabla chama kumteua ugombea akiteuliwa mwingine itakuwa vipi? Kajiandaa kisaikolojia naona anakwenda kichwa kichwa .Mbowe kwa kubadili gia angani ndio mwenyewe

Alifanikiwa hilo uchaguzi uliopita, ila sio safari hii. Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa.
 
Back
Top Bottom