sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.
Habari njema sana, LKN nahofia maisha yaek! Serikalini hakuna mtu, wote ni wauaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.
Ninaamini mastermind wa tukio lile Bwana Faru John anajuta sana kwanini LISSU hakufa kwenye scheduled death na inawezekana palikuwa na mpango wa serial killing kwamba waanze na LISSU kisha waanziwe wengine ili wakose pa kushika .Mlikosea mlipotaka kumuua Mungu akakataa si ajabu mngemuacha asingekuwa na umaarufu huu alionao Sasa.
Mchanga (makinikia) uliozuia na Rais BandaliniUshitakiwe kwani mmechukua kipi cha mzungu?
Mchanga (makinikia) uliozuia na Rais Bandalini
Hivi kuna mtu mwenye umri wa dereva wake akawekwa au ni maamuzi yake?wewe unaweza kubali kuwekwa?Kwa watu walio karibu na yeye wamweleze kuwa aonyeshe ujasiri wa kuelezea hatima ya dereva wake na ni kwa ni amemweka nje ya familia yake muda huo wote akitoa sababu zisizoshikika. Na nilazima aje naye akimwacha asishangae yatakayomtokea
Huyo mtu alitakiwa kwanza aliheshimu Taifa lake na kiongozi wa Taifa lake halafu ndiyo uje na heshima ya kidampa kama yeye. Lissu hana sifa za kupata heshima kutoka kwa mtanzania mwenye akili timamu. Mazombie kama wewe labda!Ni vizuri kuheshimu mawazo ya kila mtu ila ni dhambi kuheshimu upumbafu
Hata hao wazee wamefanya nini kwenye Taifa letu? Kufanya shopping kwenye nchi za wenzetu badala ya kutujengea SGR, umeme wa uhakika, Ndege zetu, mitandao ya uhakika yetu, elimu bure ya watoto wetu, flyovers, barabara, mpaka kwetu Nyasa kuna meli tatu na kadhalika na kadhalika. Unataka nini zaidi? Nenda kafie mbali Zombie!
Tundu Lisu is not a presidential material he has no.money ,his party has no money and he and his party don't have people's agenda .They are selfish ,they have their own agenda not people's agendaMbona umehamaki? Tatizo ni nini?
Masahihisho,Uongo=uoga__Wanachadema Kama mtapitisha kugopea urais naomba mnisaidie haya maswali
✓waliompiga risasi bado wako hai? Kama bado wako hai mko tayari kumlinda Lissu kwa gharama ya damu
✓Je siku akishuka pale Airport akadakwa na serikali kutokana na kesi zinazomuandama,mko tayari kumwaga damu yenu kumpigia serikali kelele imuachie?na ninavyojua watanzania wanaongoza kwa uongo barani Africa,,
✓Adui w lissu inaobekana yupo hapa Tanzania,Kama ni watu wazito serikalini afu wakamkamata akapelekwa mahabusu afu huko mahabusu akatiliwa sumu ambao inaweza kaa ndani ya mwilini mwezi,then ndo imuue,,je ni njia gani mtatumia asipelekwe mahabusu,,
✓Demokrasia ina faida zake na hasara zake,, kuweni makini kumlinda Lissu afu kabla ya kumleta lissu Tanzania, pasueni box tokeni nje ya box afu ndo mfikirie vizuriView attachment 1470206
Fumbo la Imani kazi unaiweza ya kututia hofu kama corona.__Wanachadema Kama mtapitisha kugopea urais naomba mnisaidie haya maswali