Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Ataleta ushindani mitandaoni sababu hakuna taifa lililopo facebook. Juzi nilikuwa na wamasai, hii nchi ni kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na mimi nani mshamba? Wewe unamshabikia mtu anaye uza nchi yako kwa sababu ya madaraka?
Wewe unafikiri nchi yako ikiuzwa utaishi wapi? Unafikiri wazungu watakuja kuijenga Tanzania kuwa kama Ulaya? Kama una mawazo ya aina hiyo, Aisee nasikitika umesha kuwa mfu. Huna maisha tena. Wewe ni mtu wa kuzikwa mzima mzima wakati bado unapumua.
Wewe ni sokwe kuliko hata sokwe mwenyewe. Hata sokwe hayuko tayari kuuacha msitu wake uvamiwe na predators. Atatumia uwezo wake wote kuulinda msitu wake, lakini wewe na domo baya Lissu mko tayari maeneo yenu ambayo mbabu zenu wamepoteza hata maisha yao kwa ajili yenu kirahisi na kwa hiari yenu kuwaachia mbwa mwitu.
Nani mshamba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming.
Tumain youUlitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
Tutajie hizo sifaHALAFU ATAGOMBEA URAISI WA FACEBOOK??? MAANA KWA TZ SIO LEVEL YAKE SABABU SIFA HIYO HANA
Kumsikiliza Lisu ni matumizi mabaya ya rasilimali muda...!
Tundu Lisu is not a presidential material he has no.money ,his party has no money and he and his party don't have people's agenda .They are selfish ,they have their own agenda not people's agenda
Today you pretend to know God in 2015 you said you are ready to get satanic help if he will help chadema win electionMtakutana kwenye kampeni mkaseme haya...
About money;
Take and remember this;
Money can buy anything - fancy cars, houses, guns to kill, bribe people etc;
But you can never bribe the Almighty God to change decision he had made...!!
If he has already decided Tundu Lissu to lead this beautiful nation, no amount of money can change it....
If he has already decided to end the life of CCM as a political party, then no amount of money can change that....!!
Umerogwa wwLissu Rais ajae wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania