Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

This is too childish now!

All this back and forth mudslinging to what end?
He was probably responding to a question. Truth is Kashililah would have never allocated the apartment without Mbowe's agreement. Kuwa na nyumba nyingine sio sababu ya kunyang'anywa nyumba unayostahili. Ni ushahidi mwingine wa jinsi asivyo selfish.

Amandla...
 
Ona mfano unaotoa wewe andazi la CCM? Yaani nyumba za bunge unazilinganisha na hostel za chuo? Dada tumia akili yako vizuri!
Hostel kuna utaratibu Ule Ule wa Ugawaji wa vyumba Hakunaga kupeana Juu kwa Juu kama vyumba Vya Billicanas night club 😃

Nyumba ni ya Serikali siyo ya Mbowe muwage mnaelewa
 
He was probably responding to a question. Truth is Kashililah would have never allocated the apartment without Mbowe's agreement. Kuwa na nyumba nyingine sio sababu ya kunyang'anywa nyumba unayostahili. Ni ushahidi mwingine wa jinsi asivyo selfish.

Amandla...
Asingekuwa selfish angekaa kimya 🐼
 
Nyumba ya KUB mbowe halafu kuigawa Kashilila awasaliane na Lisu kumpa Sio kweli hapo .Lazima Kashilila aliwasiliana na KuB Mbowe na Mbowe akasema wampe Lisu
Kuna sahihisho kidogo. Nyumba ya KUB hawezi kupewa mtu mwingine. Kama haitaki alitakiwa kuirudisha kwa Katibu wa Bunge ambae angeigawa kwa mtu mwingine. Ila Mbowe angeweza kumpa taarifa Kashililah kuwa Lissu anaishi katika nyumba aliyopangiwa. Nyumba inabaki kuwa ya Kiongozi wa Upinzani na sio Chief Whip.

Amandla...
 
Kwa nini? Alikuwa anaelezea hali halisi jinsi alivyokuwa karibu na Lissu. Suala la kuwa yeye ni selfish au sio linahusika tu na yeye kumuachia nyumba Lissu.

Amandla...
Nyumba ya Serikali kumuachia mtu ndio unajisifia?

Hiyo ni Roho ya kimaskini

Shujaa Magufuli aliwapa kabisa 😂😂😂
 
Tunataka kujadili jambo dhaifu sana. Nyumba siyo ya mbowe wala lissu. Nyumba ya serikali. Kwani hadi sasa kwenye nyumba hiyo wanakaa akina nani? Hata aliyelileta hili mzee mbowe naye...
 
Haya mambo ya kupeana nyumba ndiyo namna ya kujinadi kwenye uchaguzi? Yanasaidiaje kukiongozana kuendesha chama.
 
Back
Top Bottom