Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
He was probably responding to a question. Truth is Kashililah would have never allocated the apartment without Mbowe's agreement. Kuwa na nyumba nyingine sio sababu ya kunyang'anywa nyumba unayostahili. Ni ushahidi mwingine wa jinsi asivyo selfish.This is too childish now!
All this back and forth mudslinging to what end?
Hostel kuna utaratibu Ule Ule wa Ugawaji wa vyumba Hakunaga kupeana Juu kwa Juu kama vyumba Vya Billicanas night club πOna mfano unaotoa wewe andazi la CCM? Yaani nyumba za bunge unazilinganisha na hostel za chuo? Dada tumia akili yako vizuri!
Asingekuwa selfish angekaa kimya πΌHe was probably responding to a question. Truth is Kashililah would have never allocated the apartment without Mbowe's agreement. Kuwa na nyumba nyingine sio sababu ya kunyang'anywa nyumba unayostahili. Ni ushahidi mwingine wa jinsi asivyo selfish.
Amandla...
Kuna sahihisho kidogo. Nyumba ya KUB hawezi kupewa mtu mwingine. Kama haitaki alitakiwa kuirudisha kwa Katibu wa Bunge ambae angeigawa kwa mtu mwingine. Ila Mbowe angeweza kumpa taarifa Kashililah kuwa Lissu anaishi katika nyumba aliyopangiwa. Nyumba inabaki kuwa ya Kiongozi wa Upinzani na sio Chief Whip.Nyumba ya KUB mbowe halafu kuigawa Kashilila awasaliane na Lisu kumpa Sio kweli hapo .Lazima Kashilila aliwasiliana na KuB Mbowe na Mbowe akasema wampe Lisu
Kwa nini? Alikuwa anaelezea hali halisi jinsi alivyokuwa karibu na Lissu. Suala la kuwa yeye ni selfish au sio linahusika tu na yeye kumuachia nyumba Lissu.Asingekuwa selfish angekaa kimya πΌ
Nyumba ya Serikali kumuachia mtu ndio unajisifia?Kwa nini? Alikuwa anaelezea hali halisi jinsi alivyokuwa karibu na Lissu. Suala la kuwa yeye ni selfish au sio linahusika tu na yeye kumuachia nyumba Lissu.
Amandla...