Tundu Lissu puts Magufuli on spot after assassination attempt

Muwe makini na mijadala kama hii..
Vinginevyo mnatafuta kupajua Mabwepande na Ununio..
 
I disagree with you on that kwamba Lissu ni mtu wa Hovyo, Infact in my opinion Maghufuli ni mtu wa ovyo sana na CCM ni chama cha ovyo sana...Eventhough both views remain to be subjective based on your sentiment..
Nadhani umemalizia vizuri sana maelezo yako..ila kumbuka kwamba wengi wape, japo sio siku zote walio wengi wanakuwa sahihi, ila mara nyingi inakuwa hivyo, ukiona watu wengi, hasa wasomi na wenye busara wanaunga mkono chama fulani, usipuuze hata kidogo, anza kujiuliza, hivi kweli mimi ninaweza kuwa na elimu au busara kumshinda Issa Shivji?, Patric Lumumba?, au waafrika wote waliomchagua juzi kuwa mtu mashuhuri wa mwaka 2017?, jibu likija linalokuambia kwamba wewe ni bora kuliko hao wote niliowataja, basi jua wewe ni kiboko, yaani wewe sio mchezo..
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
....Acha upimbi wewe kukopi uzi wote
 
msaliti ktk ubora wake,issue ndogoza kuongea na washika dau wamsaidie ashaenda koropokwa,anafkiri wakenya watamuhurumia,mil 80 za mama uhuru zinafanya kazi.
wanamlipia deni kwa sharti amponde rais wake na nchi yake kwenye media.
good boy lissu
 
Mie naona kumzima lisu ni serikali kuwakamata hao wasiojulikana na kuwaweka mbele ya sheria, kitendo cha serikali kukaa kimya mpaka leo hawa jamaa + lisu wataendelea kulaumu tu na kutoa maneno kama haya, ilitakiwa pale pale polisi wetu wangewakamata, au kuruhusu usaidizi wa kimataifa kuwaafuta hawa wasiojulikana na wakapatikana, nina uhakika watu wala lisu wasinqeweza toa maneno kama haya ya kumchafua kiongozi wetu
 
Pumba.
 
UN and all International human Rights organs should take the steps on this.


Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Hata hii mbovu inafinyangwa itakuwa hiyo mpya!
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
We mwehu kweli ww...na mawaziri wanavyoenda kutibiwa india na south Africa huoni km hela yetu inavuka mipaka!??
Kumbuka: Waziri Akwukwet alifariki south Africa akiwa anapata matibabu..je ulitaka serikali imuache hapa nchini ilihali vifaa havipo vya kutosha!????
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Hela Yenu na nani ? Upumbavu wa mwenyekiti wenu unawakilishi ninyi nyote ?
Ile hela ni ya watz wote pamoja na TL na sio ya mapunguani wachache msiojielewa kama Makomeo anavyofikiri pia kuwa ni ya kwake na pekee ndiye anayeweza amua itumikeje
Majinga majinga hayo ni matokeo ya kuishi na laana

Mkatubu
 
Huyu jamaa namuheshimu, lakini kwa hili amefika mbali na anapaswa athibitishe hilo na akishindwa achukuliwe hatua Kali.. Amemchafua sana Raisi.
Hapo yaonesha uwexo wako kiakili uko chini sana
Kama Makufuli angekuwa hahusiki na kwa kiwango chake cha kukurupuka angekuwa amewaita Scotland yard Siku iliyofuatia kupigwa Risasi TL
Bahati mbaya yeye na DAB ndiyo waliandaa na kusimamia mpango
Kama alivyosema TL waliamini kuwa haatashindwa na watamuua,bahati mbaya kwao haikuwa
Sasa wanabaki kuwatumia wajinga wachache kusafisha sura zao wakati wameota mkia unaonekana kwa kila anayetaka kutazama
 
.sijaelewa aim ya hyo press ,ni kutafuta response ktka kwa serikali,kututaarif kua raisi wetu ni muuaji ama nn.Tuzifanyie nn hzi habari anazotupa?.... ..all in all Best of health TL.
Kama hujui kuwa mkulu ni Muuwaji pole sana
DAB ndiyo apparatus yake ya kutekeleza uhalifu dhidi ya maisha ya watu
Kukosa kwake moral authority kuwa Mkuu wa Mkoa kwa Vyeti vya kughushi kunamfanya akubali kufanya kazi za kishetani ili aendelee kutumika
Ni watu wachache sana wanaoweza kutumika kwenye kazi ya kuuwa wengine
 
Hapo emeongea exactly wengi umu kama wanalopoka tu
 
UN and all International human Rights organs should take the steps on this.


Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Naona umelewa...katiba tunayo tayari, na hatuhitaji katiba nyingine...
 
Lengo lake KUU ni kuishinikiza Serikali yetu itoe fedha za Matibabu, hakuna kingine, sarakasi zoote ziko hapo!
Fedha za matibabu kwa kipi alichokifanya mkuu...mbona mbwabwajaji tu. Labda kama anataka serikali imuhonge imle matakoni ndo maana anajipendekeza kwa kumtaja rais wa nchi hii kila mara. Mwanamke akimpenda mwanaume mara nyingi huwa anapenda kumuita kama yeye anavyomuita mwanaume kamili Bw. Magufuli .
 
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!

Tema mate chini,najua unaongea kwa kuwa sio ndugu yako! Lakini usishangae yakakufika kwa njia moja au nyingine. Mungu mkubwa!
 
Muwe makini na mijadala kama hii..
Vinginevyo mnatafuta kupajua Mabwepande na Ununio..
Tahadhari hii sijui ndo umenuia ifikie wakenya au ni watz? Maanake ikifika kwenye maswala kama haya wakenya hatujuagi kuufyta. Utajiumiza kichwa bure wewe. Kwa wanaopenda kusema wakenya si wastaarabu, angalieni uzi huu afu mjaribu kuufananisha na zile nyuzi za 'U.Kenyatta ndo baba wa demokrasia Afrika'. Utaona watz walivomrushia rais wa Kenya matusi ya kila aina. Sasa hivi sioni wakenya wakija na mbwembwe za aina hiyo kumuunga mkono Tundu Lissu au hata kumkashifu JPM.
 
Halafu mnataka serikali igharimie matibabu yake? Halafu mnataka vyombo vya dola vifanye uchunguzi? Lakini bado najiuliza: seikali inafanya kazi kwa maelekezo na mihemuko ya wanasiasa au ina utaratibu wake?
Nashauri kitu kimoja; Lissu akirudi, atoe ushirikiano kwa vyombo vya ndani vya usalama! Jibu litapatikana! Kwa shinikizo, itakuwa vigumu!
Tafakari!
 
The so called "assassination attempt" was done in Dodoma and not in Dar es Salaam.
In my view, what complicates matters is: " End in Mind" perception - jumping into conclusion - forcing false to be true!
I urge Hon. Tundu Lissu to give hand to the Security Forces in finding the findings, on his return!
Digest and cheers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…