trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Muwe makini na mijadala kama hii..
Vinginevyo mnatafuta kupajua Mabwepande na Ununio..
Vinginevyo mnatafuta kupajua Mabwepande na Ununio..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu kashamsamehe Huyo chizi [emoji9] [emoji9] [emoji10] [emoji18] [emoji18] [emoji25]Ni huyu mgonjwa wa akili ?![]()
Nadhani umemalizia vizuri sana maelezo yako..ila kumbuka kwamba wengi wape, japo sio siku zote walio wengi wanakuwa sahihi, ila mara nyingi inakuwa hivyo, ukiona watu wengi, hasa wasomi na wenye busara wanaunga mkono chama fulani, usipuuze hata kidogo, anza kujiuliza, hivi kweli mimi ninaweza kuwa na elimu au busara kumshinda Issa Shivji?, Patric Lumumba?, au waafrika wote waliomchagua juzi kuwa mtu mashuhuri wa mwaka 2017?, jibu likija linalokuambia kwamba wewe ni bora kuliko hao wote niliowataja, basi jua wewe ni kiboko, yaani wewe sio mchezo..I disagree with you on that kwamba Lissu ni mtu wa Hovyo, Infact in my opinion Maghufuli ni mtu wa ovyo sana na CCM ni chama cha ovyo sana...Eventhough both views remain to be subjective based on your sentiment..
....Acha upimbi wewe kukopi uzi woteHata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Mie naona kumzima lisu ni serikali kuwakamata hao wasiojulikana na kuwaweka mbele ya sheria, kitendo cha serikali kukaa kimya mpaka leo hawa jamaa + lisu wataendelea kulaumu tu na kutoa maneno kama haya, ilitakiwa pale pale polisi wetu wangewakamata, au kuruhusu usaidizi wa kimataifa kuwaafuta hawa wasiojulikana na wakapatikana, nina uhakika watu wala lisu wasinqeweza toa maneno kama haya ya kumchafua kiongozi wetuUnajua Nini mkuu, unachosema ni Sahihi kabisa lakini Kaka kumbuka Uzito Wa cheo cha Urais, Kumchafua ni sawa na kuingiza DOA kubwa sana, Ni hatari kwa Kwa nchi na hata maisha ya Mh. Lissu mwenyewe. Watu wanaomchukia Raisi wanaweza kutumia hii fursa kummaliza kabisa Mh. Lissu ili kumchafua kabisa Mheshimiwa Raisi na Isitoshe Upinzani ilifanya haraka Sana kulipeleka hili swala kisiasa Zaid.. Unakumbuka siku Mh. Anapigwa Risasi wapinzani Mara moja walianza kuishambulia serikali na ndio sababu kubwa ya kumhamishia mheshimiwa Nairobi hospital na nahisi ndio sababu kubwa ya Serikali kukaa kimya. Mi ningemshauri Mh. Lissu arudi ajaribu kushirikia na Serikali waone kwanza Nini kitakua accomplished. Namna hii anajenga uhasama mkubwa sana na Serikali
Pumba.Unajua Nini mkuu, unachosema ni Sahihi kabisa lakini Kaka kumbuka Uzito Wa cheo cha Urais, Kumchafua ni sawa na kuingiza DOA kubwa sana, Ni hatari kwa Kwa nchi na hata maisha ya Mh. Lissu mwenyewe. Watu wanaomchukia Raisi wanaweza kutumia hii fursa kummaliza kabisa Mh. Lissu ili kumchafua kabisa Mheshimiwa Raisi na Isitoshe Upinzani ilifanya haraka Sana kulipeleka hili swala kisiasa Zaid.. Unakumbuka siku Mh. Anapigwa Risasi wapinzani Mara moja walianza kuishambulia serikali na ndio sababu kubwa ya kumhamishia mheshimiwa Nairobi hospital na nahisi ndio sababu kubwa ya Serikali kukaa kimya. Mi ningemshauri Mh. Lissu arudi ajaribu kushirikia na Serikali waone kwanza Nini kitakua accomplished. Namna hii anajenga uhasama mkubwa sana na Serikali
Hata hii mbovu inafinyangwa itakuwa hiyo mpya!UN and all International human Rights organs should take the steps on this.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
We mwehu kweli ww...na mawaziri wanavyoenda kutibiwa india na south Africa huoni km hela yetu inavuka mipaka!??Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Hela Yenu na nani ? Upumbavu wa mwenyekiti wenu unawakilishi ninyi nyote ?Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Hapo yaonesha uwexo wako kiakili uko chini sanaHuyu jamaa namuheshimu, lakini kwa hili amefika mbali na anapaswa athibitishe hilo na akishindwa achukuliwe hatua Kali.. Amemchafua sana Raisi.
Kama hujui kuwa mkulu ni Muuwaji pole sana.sijaelewa aim ya hyo press ,ni kutafuta response ktka kwa serikali,kututaarif kua raisi wetu ni muuaji ama nn.Tuzifanyie nn hzi habari anazotupa?.... ..all in all Best of health TL.
Hapo emeongea exactly wengi umu kama wanalopoka tuUnajua Nini mkuu, unachosema ni Sahihi kabisa lakini Kaka kumbuka Uzito Wa cheo cha Urais, Kumchafua ni sawa na kuingiza DOA kubwa sana, Ni hatari kwa Kwa nchi na hata maisha ya Mh. Lissu mwenyewe. Watu wanaomchukia Raisi wanaweza kutumia hii fursa kummaliza kabisa Mh. Lissu ili kumchafua kabisa Mheshimiwa Raisi na Isitoshe Upinzani ilifanya haraka Sana kulipeleka hili swala kisiasa Zaid.. Unakumbuka siku Mh. Anapigwa Risasi wapinzani Mara moja walianza kuishambulia serikali na ndio sababu kubwa ya kumhamishia mheshimiwa Nairobi hospital na nahisi ndio sababu kubwa ya Serikali kukaa kimya. Mi ningemshauri Mh. Lissu arudi ajaribu kushirikia na Serikali waone kwanza Nini kitakua accomplished. Namna hii anajenga uhasama mkubwa sana na Serikali
What is the lagal definition of assassination attempt in Tanzania and the world?
Naona umelewa...katiba tunayo tayari, na hatuhitaji katiba nyingine...UN and all International human Rights organs should take the steps on this.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Fedha za matibabu kwa kipi alichokifanya mkuu...mbona mbwabwajaji tu. Labda kama anataka serikali imuhonge imle matakoni ndo maana anajipendekeza kwa kumtaja rais wa nchi hii kila mara. Mwanamke akimpenda mwanaume mara nyingi huwa anapenda kumuita kama yeye anavyomuita mwanaume kamili Bw. Magufuli .Lengo lake KUU ni kuishinikiza Serikali yetu itoe fedha za Matibabu, hakuna kingine, sarakasi zoote ziko hapo!
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Tahadhari hii sijui ndo umenuia ifikie wakenya au ni watz? Maanake ikifika kwenye maswala kama haya wakenya hatujuagi kuufyta. Utajiumiza kichwa bure wewe. Kwa wanaopenda kusema wakenya si wastaarabu, angalieni uzi huu afu mjaribu kuufananisha na zile nyuzi za 'U.Kenyatta ndo baba wa demokrasia Afrika'. Utaona watz walivomrushia rais wa Kenya matusi ya kila aina. Sasa hivi sioni wakenya wakija na mbwembwe za aina hiyo kumuunga mkono Tundu Lissu au hata kumkashifu JPM.Muwe makini na mijadala kama hii..
Vinginevyo mnatafuta kupajua Mabwepande na Ununio..
Halafu mnataka serikali igharimie matibabu yake? Halafu mnataka vyombo vya dola vifanye uchunguzi? Lakini bado najiuliza: seikali inafanya kazi kwa maelekezo na mihemuko ya wanasiasa au ina utaratibu wake?Hapo yaonesha uwexo wako kiakili uko chini sana
Kama Makufuli angekuwa hahusiki na kwa kiwango chake cha kukurupuka angekuwa amewaita Scotland yard Siku iliyofuatia kupigwa Risasi TL
Bahati mbaya yeye na DAB ndiyo waliandaa na kusimamia mpango
Kama alivyosema TL waliamini kuwa haatashindwa na watamuua,bahati mbaya kwao haikuwa
Sasa wanabaki kuwatumia wajinga wachache kusafisha sura zao wakati wameota mkia unaonekana kwa kila anayetaka kutazama
Tundu Lissu puts Magufuli on spot after assassination attempt
Jan. 05, 2018, 3:00 pm
By NANCY AGUTU, @nancyagutu
![]()
Tanzanian MP Tundu Lissu during his press conference at Nairobi Hospital following an attempted assassination, January 5, 2018. /Courtesy
Tanzanian firebrand opposition leader Tundu Lissu has accused President John Magufuli of attempted political assassination.
Lissu, 49, was shot by unknown gunmen in in Dar es Salaam in September and was admitted at Nairobi Hospital.
Read: Vocal Magufuli critic seriously hurt in gun attack
"Since Magufuli came into power, I have been the greatest critic and that is why I was attacked," he said on Friday.
"Tangu uhuru na kabla ya uhuru Tanzania, mtu hajawahi kuchukua silaha au bunduki kwa nia ya kuua kiongozi kwa sababu ya msimamo wake wa siasa (Since Tanzania's independence, we have never heard of anyone taking arms to kill a leader because of his political stance)."
The Chadema politician and Member of Parliament for Singida East addressed a press conference in Nairobi on Friday.
"I am not a businessman and I don't fight in bars but since 2010 and even before that, I have been a critic of the Tanzanian government."
Lissu, who spoke in a wheelchair, said that since the attack, Magufuli has not issued a statement to that effect and that his silence means a lot.
"Magufuli hajatoa taarifa yoyote hadharani. Serikali yake haijatoa taarifa rasmi juu ya shambulizi hili,(Magufuli has not issued any public statement. His administration has not spoken about the attack)," he said.
But after the attack, Magufuli's ruling Chama Cha Mapinduzi party condemned "the cruel and inhumane act".
The President tweeted that he was "shocked to hear of the attack on Tundu Lissu and I pray to God almighty that he will soon recover".
Police said investigations into the attack were ongoing; they said they did not know what motivated it and that suspects were still at large.
How it happened
Lissu narrated how the attackers trailed him from Parliament buildings to his home in Dodoma with the aim of killing him.
"A group of people took weapons used for war and followed me all the way from Parliament during the day with the aim of killing me," he said.
"Haya yametokea kwa mara ya kwanza. Walipokuja kwa gari, walichukuwa silaha zao na kwa dakika chache wale watu walipiga risasi 39 kwa gari langu (It was the first time this happened....they fired 39 shots at my car)."
The Sigadari MP said 16 of the bullets hit him, that most of them tore through his body and that he was left half dead.
"Nyingi zilipita zikagonga viungo. Nane zilibaki kwa mwili wangu nikapelekwa Dodoma kutibiwa mara ya kwanza. Hapo ndipo wakanileta huku Nairobi ambapo walitoa risasi saba (Eight bullets were lodged in my body by the time I was rushed to Dodoma. Seven bullets were removed at the Nairobi hospital)" he said.
Lissu said one bullet is still lodged in his body as doctors told him it would be more risky to remove it.
He faulted police saying they were not around his house to protect him on the day of the attack, hence his suspicion of foul play.
"Nyumba ninayoishi ni ya serikali na inalindwa 24 hours. Lakini watu wenye silaha walinifuata getini na siku hiyo hakukuwa na walinzi kwa gate," he said.
(I live in a government house which is under 24-hour police guard...it beats logic for armed men to follow me to my home...there were no guards at my gate)
"Hata polisi hawakuwa. Kuna CCTV lakini haijulikani mahali iko... Walinipiga risasi kisha wakaondoka (Even police were not there...we have CCTV but their location is...the attackers shot me and left)."
No medical funds
Lissu said since he was hospitalised, the Tanzanian government has not given any funds for his medication.
"I am still an MP. There are rules on medical bills. Parliament should pay for expenses whether one is within Tanzania or not. Today, Parliament has not given a shilling for my medical expenses," he said. "We wrote a letter to them but they have been going round and round. The speaker has not even come to see me. It is sad."
He accused the government of not having a plan B after the one to kill him failed.
"Waliopanga haya hawakuwa na plan B. Kama kulikuwa na plan B...hiyo plan B iko wapi...for four months?. This assassination has failed. Mungu wangu alikuwa macho kweli kweli (Those who planned this failed attack did not have a plan B...My God was truly watching over me)," he said.
Lissu claimed that since Magufuli became President, he has been arrested eight times.
"We have upgraded from arrests to assassinations. It's time for the international community to rise up," he said.
"Kuliko nini Tanzania? Mbona mnapiga wanasiasa bunduki. Mbona mnapoteza waandishi wa habari (What is happening in Tanzania? Why are they shooting politicians and causing journalists to disappear?)"
Read: Magufuli under fire for 'muzzling Tanzania media'
Also read: Media freedom has its limits, Magufuli warns journalists
No investigations
Magufuli further said no investigations have been done on the assassination plot
"We have not been interviewed. Hakuna hata mmoja ambaye amekuja kuniuliza 'ebu eleza vile ulivyoshambuliwa'. Jeshi la polisi halijakuja huku. It was planned ili niwache kusumbua wakubwa wa Tanzania,"he added.
(No one has come to investigate what happened. Police have not come here...The attack was planned so that I stop troubling the who-is-who in Tanzania)
"This is the time to denounce this government. [It should be denounced] whenever the opportunity arises."
Lissu serves as chief whip for the parliamentary opposition and is president of Tanzania's bar association, the Tanganyika Law Society. He is also CHADEMA's attorney general.
As a vocal opponent of Magufuli, he has been arrested on several occasions and charged with incitement. He was detained in July after terming Magufuli a dictator but was released later.
Tundu Lissu puts Magufuli on spot after assassination attempt