jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
niwekee hilo jibi huko google basi!Rubbish, umekomalia definition ,rubbish, just google!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niwekee hilo jibi huko google basi!Rubbish, umekomalia definition ,rubbish, just google!
.sijaelewa aim ya hyo press ,ni kutafuta response ktka kwa serikali,kututaarif kua raisi wetu ni muuaji ama nn.Tuzifanyie nn hzi habari anazotupa?.... ..all in all Best of health TL.
Wee jamaa nawe!!....hivi angeshambuliwa naibu spika, ile CCTV camera ingenguwa mpaka leo haijapatikanika??...wale askari wa doria wangekuwa bado uraiani??....Huyu jamaa namuheshimu, lakini kwa hili amefika mbali na anapaswa athibitishe hilo na akishindwa achukuliwe hatua Kali.. Amemchafua sana Raisi.
😀😀😀😀😀
Hiyo avatar yako mwili umenisisimkaThe history will mark so. That in the 5th realm there was an attempt of political assassination that happened immediately after president speech blaming the fairness of police to those who criticise him...
Wewe unaakili kweli..hivi ni mara ngapi watu wamepelekwa Nje ya nje..Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Huyu jamaa namuheshimu, lakini kwa hili amefika mbali na anapaswa athibitishe hilo na akishindwa achukuliwe hatua Kali.. Amemchafua sana Raisi.
Hapana mkuu, katika hili serikali inapaswa kunyooshewa kidole, mazingira yote yanaonyesha serikali imehusika tena pakubwa sana, mimi binafsi ninaamini serikali imehusika kwa 98%Huyu jamaa namuheshimu, lakini kwa hili amefika mbali na anapaswa athibitishe hilo na akishindwa achukuliwe hatua Kali.. Amemchafua sana Raisi.
Unajua Nini mkuu, unachosema ni Sahihi kabisa lakini Kaka kumbuka Uzito Wa cheo cha Urais, Kumchafua ni sawa na kuingiza DOA kubwa sana, Ni hatari kwa Kwa nchi na hata maisha ya Mh. Lissu mwenyewe. Watu wanaomchukia Raisi wanaweza kutumia hii fursa kummaliza kabisa Mh. Lissu ili kumchafua kabisa Mheshimiwa Raisi na Isitoshe Upinzani ilifanya haraka Sana kulipeleka hili swala kisiasa Zaid.. Unakumbuka siku Mh. Anapigwa Risasi wapinzani Mara moja walianza kuishambulia serikali na ndio sababu kubwa ya kumhamishia mheshimiwa Nairobi hospital na nahisi ndio sababu kubwa ya Serikali kukaa kimya. Mi ningemshauri Mh. Lissu arudi ajaribu kushirikia na Serikali waone kwanza Nini kitakua accomplished. Namna hii anajenga uhasama mkubwa sana na SerikaliHapana mkuu, katika hili serikali inapaswa kunyooshewa kidole, mazingira yote yanaonyesha serikali imehusika tena pakubwa sana, mimi binafsi ninaamini serikali imehusika kwa 98%
1)Gari lilikoa limewabeba wale wauaji lilianza kuwafuata toka ukumbi wa Bunge wakielekea nyumbani, kumbuka wakati bunge linaendelea, mji wa Dodoma unakua chini ya ulinzi mkali, hakuna muhalifu yeyote anayeweza kutembea na silaha, tena hadi kukaribia ukumbi wa bunge.
2)Jeshi la polisi la Tanzania, haijawahi hata siku moja kutokee tukio kubwa kiasi hiki, lishindwe kukamata japo watuhumiwa, kumbuka wikibmoja baada ya Lisu kushambuliwa, alishambuliwa kwa risasi yule mwanajeshi mstahafu kule Mbezi beach Dar, wahusika wote walikamatwa ndani ya siku nne.
3)Kitendo cha jeshi la polisi kuzuia watu kuzungumza habari za Lisu, kumchangia damu na kukusanyia kwa ajili ya kufanya maombi.
Haya ni baadhi tu ya mambo yanayoonyesha kwamba serikali inahusika sana.
Ila kwa upande wa Bunge kumuhudumia Lisu akiwa Nairobi, hapo Lisu hasemi ukweli na anapotosha umma na jamii ya kimataifa, bunge limefanya kile kinachopaswa kufanywa na bunge, kumshutumu speaker wa bunge ninkukosa shukurani na fadhila.
Hata mimi napinga Hela yetu kuvuka mpaka kwenda kumtibia Tundu Lisu, kama angelazwa Hospitali zetu hapa TZ ingekuwa ni sawa sisi kumtibia lkn siyo akiwa nje ya nchi yetu!!
Mimi sidhani kama katika hotuba yake hii, Lisu amemuhusisha mtu yeyote personal ila amesema serikali kwa ujumla wake kuhusika, amemtaja Magufuli kwa kutotoa kauli lakini sio kuhusika, ila amelishutumu jeshi la polisi kwa kushindwa kufanya upelezi ipasavyo, lakini kikubwa ameishutumu serikali kwa kukataa kuruhusu vyombo huru kutoka nje kuja kusaidia, jeshi la polisi linadai kuwa na uwezo wa kulipeleleza, lakini leo ni miezi minne na hakuna dalili yoyote ile.Unajua Nini mkuu, unachosema ni Sahihi kabisa lakini Kaka kumbuka Uzito Wa cheo cha Urais, Kumchafua ni sawa na kuingiza DOA kubwa sana, Ni hatari kwa Kwa nchi na hata maisha ya Mh. Lissu mwenyewe. Watu wanaomchukia Raisi wanaweza kutumia hii fursa kummaliza kabisa Mh. Lissu ili kumchafua kabisa Mheshimiwa Raisi na Isitoshe Upinzani ilifanya haraka Sana kulipeleka hili swala kisiasa Zaid.. Unakumbuka siku Mh. Anapigwa Risasi wapinzani Mara moja walianza kuishambulia serikali na ndio sababu kubwa ya kumhamishia mheshimiwa Nairobi hospital na nahisi ndio sababu kubwa ya Serikali kukaa kimya. Mi ningemshauri Mh. Lissu arudi ajaribu kushirikia na Serikali waone kwanza Nini kitakua accomplished. Namna hii anajenga uhasama mkubwa sana na Serikali
Mimi sidhani kama katika hotuba yake hii, Lisu amemuhusisha mtu yeyote personal ila amesema serikali kwa ujumla wake kuhusika, amemtaja Magufuli kwa kutotoa kauli lakini sio kuhusika, ila amelishutumu jeshi la polisi kwa kushindwa kufanya upelezi ipasavyo, lakini kikubwa ameishutumu serikali kwa kukataa kuruhusu vyombo huru kutoka nje kuja kusaidia, jeshi la polisi linadai kuwa na uwezo wa kulipeleleza, lakini leo ni miezi minne na hakuna dalili yoyote ile.
Japo ni kweli kwamba Lisu ni msema hovyo, na mara nyingi huwa hana busara katika kauli zake, ni msema hovyo sana, ila katika hili, serikali lazima ibebe lawama, ni jambo lisiloeleweka eti serikali inazuia mikutano ya kumchangia na kumuombea Lisu, au kuzungumza lolote kuhusu Lisu, na bado unahisi serikali hiyo inaweza kusikiliza maoni yanayomuhusu Lisu in private, anachokifanya Lisu ni kutaka kuifahamisha dunia na jamii ya kimataifa kuhusu kinachotokea Tanzania, japo kitawakera viongozi, lakini hakuna jinsi kwani ndiyo njia pekee waliyobaki nayo wapinzani, sidhani kama itasaidia kwa sababuvya kiburi cha Magu, lakini hakuna jinsi.
We ni MkenyaUN and all International human Rights organs should take the steps on this.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Kwa ujumla mkuu Lisu ni mtu wa hovyo sana, hivyo ndivyo alivyozaliwa na kamwe hawezi kubadilika, kosa kubwa walilolifanya CHADEMA ni kumuamini Lisu na kumfanya kuwa msemaji wa chama, CHADEMA kilikuwa na nguvu sana enzi za Dr.Slaa na Zitto, hii ni kutokana na busara na akili za Dr. Slaa, wabunge wengi na watu mashuhuri walikuwa wanatoka CCM kwenda CHADEMA, lakini sasa hivi ni kinyume chake, Lisu na Godbless Lema hawaruhusu mtu mwengine azungumze lolote lile ndani ya chama, wao ndiyo wenye kujua kila kitu.Ahaa kumbe. Basi nilielewa vibaya labda. Hapo atakua sawa Mzee mwenzangu.. Mi kiufupi namuelewa sana Lissu, anajitahidi sana kuweka mambo sawa ila kuna baadhi ya Mambo kidogo anatakiwa atangulize uzalendo. Upinzani usimzidi uwezo akashindwa kuelewa lipi la kuongelea hadharani. Apone arudi kazini
Kwa ujumla mkuu Lisu ni mtu wa hovyo sana, hivyo ndivyo alivyozaliwa na kamwe hawezi kubadilika, kosa kubwa walilolifanya CHADEMA ni kumuamini Lisu na kumfanya kuwa msemaji wa chama, CHADEMA kilikuwa na nguvu sana enzi za Dr.Slaa na Zitto, hii ni kutokana na busara na akili za Dr. Slaa, wabunge wengi na watu mashuhuri walikuwa wanatoka CCM kwenda CHADEMA, lakini sasa hivi ni kinyume chake, Lisu na Godbless Lema hawaruhusu mtu mwengine azungumze lolote lile ndani ya chama, wao ndiyo wenye kujua kila kitu.