Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Unampenda mtu, unatamani afanye makubwa zaidi na unamtusi ili aongeze bidii. Na sasa unamtusi Jpm. Nimekuelewa.
 
Ataonaje mkuu alikuwa Belgium akiuza sura, Huku nchi inasonga. Wakati anatoka KIA sijui alipita barabara gani mana hata fly over ya hakupita. Wapinzani wa bongo hawana tofauti na mtu mwenye gubu maneno tu.
Kweli kabisa alafu hao wapinzani awalipagi kodi wala nini?
 
Lazima atumie udhaifu wa dhahiri uliopo, sasa akiongelea haya unayoyasema, JPM yeye ataongelea nn??
 
Kumuita mtu hai dead ni ushetani wa kihutu!
Nawe ipo siku utakufa na kutupwa kwenye shimo la pembe nne tu.
 
Lissu akijipanga vizuri atapata kura nyingi sana, Maana JPM kaumiza wengi kila sector hakuna mwenye nafuu naye.. Lissu apunguze kumuattack akomae na namna gani atafanya tofauti na JPM waTZ watamuelewa sana..
 
Unampenda mtu, unatamani afanye makubwa zaidi na unamtusi ili aongeze bidii. Na sasa unamtusi Jpm. Nimekuelewa.
Hakuna mahali nmemtusi JPM, niliyosema ni kweli nakila mtu anashuhudia juu ya hayo.
 
chadema nichama cha wajinga wengi walioshindwa shule Sasa akili yakuongoza nchi mtatoa wapi
CCM wanajua utimam wa wana CDM Uzuri kabisa kuliko hata mimi!

Jiulize ni kwa nini JPM alifunga matangazo ya moja kwa moja Bungeni, kwa nini anaminya vyombo vya habari?

Eti ni kwa nini?!
 
Binafsi siko upande wowote ila jamaa atakuwa na chuki binafsi c bure.
 
Sisi tunataka hivyo hivyo Magu katushambulia sana kwa kutuonea kwa miaka 5. Sasa tumempta mbabe wake.
Alituzimia Bunge kwa ubabe wake. Ametutungia Sheria mbovu za kikandamizaji kwa ubabe wake. Kwanini unataka tumuonee huruma??
 
Mbona Toto Tundu amesahau mengine makubwa au anagua ugonjwa uitwao "selective amnesia".
 
Katika huo uelewa, ebu nieleweshe na mimi ni nani alivipoteza? Na kwa nini alivipoteza?
 
Kwa hiyo ndio sera ya kuwaambia wapiga kura ? Dah, kweli CHADEMA imefikia hapa ? Pengo la Dr Slaa halizibiki kamwe.
 
usimpe kura tuu, mpe na t.go kabisa kama unampenda sana!.
 
Jibu hoja we .....hv Ajuza wenu yuko wap nw
 
Nategemea humu tuwe na hoja sio kelele na matusi. Sera njema ndio zitupe mwongozo wa Maendeleo. Hata hivyo CCM tunatakiwa kujibu hizo hoja sio kutukana. Kama huna hoja funga domo. NAWAFOKEA SASA.
 
Sifa moja kubwa sana kwa kiongozi wa kitaifa ni kuwaambia watu ukweli wote kadri ulivyo nao; ukishakuwa ni kiongozi anyehubiri ukweli wa kuchagua ma vile vile kuweka uwongo, unakuwa unaaingiza nchi matatizoni sana.

Nataka kuongelea hili la swala la mbuga. Kama kweli Lissu alikuwa hajui kuwa hifadhi za Akagera, Burigi, Bihalamuro, Kimisi, Lubondo na Maisome zilikuwapo tangu miaka ya sitini inawezekana kabisa haijui nchi hii au ni mptotoshaji tu.

Mwishoni mwa miaka ya themanini niliwahi kutembelea wanafunzi wa engineering waliokuwa PT pale Chato Ginnery, na baada ya hapo nikatembelea mbuga ya Bihalamuro na Burigi kabla ya kurudi Bukoba kupanda ndege ya kurudi Mwanza. Mtu huyu anazungumza vitu gani?

wanasheria wamefundishwa kuwa makini na maneno yao lakini yeye anaonekana kuongea lolote linalokuja mdomoni bila hata kupitia ubongoni mwake. Nawashauri watu walioko karibu yake wamdhibiti maneno anayotoa kwani mengine yanaweza kumwonyesha kabisa kuwa yuko out of touch.

Anaweza kuongea swala la uwanja wa ndege ingawa nalo lina majibu yake ambayo yanahitaji kutolewa na serikali; lakini siyo mbuga ambazo zilikuwepo siku nyingi sana.
 
Reli gani unayosema wewe? Ndege zimefanya nini? Kwanza tunajiendesha kwa hasara na wananchi wa kawaida ndege hawajui, watu hawali dodoma wala reli ,vituo vya afya bila dawa ni jengo tu. Sio wote ni wajinga
 
Fatilia viongozi wa mageuzi kina Mohammad rajah Al mahtoom, Putin, J. zemin nk. Hakunaga maendeleo bila kuumia, Kama mwanaume ulitahiriwa Kama mwanamke Alizaa basi hujua hilo!! Chamuhimu malengo ya JPM ni Tanzania yamaendeleo tena yakasi
Unaongea dunia ys zamani .
Dunia ya sasa imebadirika
 
Huon kilichofanyika
Wewe ndio umeanza kulialia kuwa "Lissu badala ya kusema atafanya nini kuumaliza umaskini" nikakuuliza kwahiyo hakuna kilichofanyika miaka 5 kuufuta huo umaskin ambao wataka Lissu aufute???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…