Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,655
Tundu Lissu akihutubia mamia ya wafuasi wa Chadema na Wananchi wasio na itikadi ya chama chochote mkoani Dodoma ametoa hoja kali ambazo CCM hawana uwezo wa kuzijibu zaidi ya kupanic na kukimbilia kwenye vyombo vya habari viwahurumie wasirushe mikutano ya Tundu Lissu.

Mosi, amezungumza kuwa jipya na la ajabu kwenye utawala huu ni Rais kujenga uwanja mkubwa Chato wakati marais waliopita hawakufanya maajabu haya, amesisitiza Tundu Lissu.

Pili, ni kitendo cha Rais kupeleka mbuga Chato. Hili ni ajabu kuu ambalo halijawahi kufanyika amesisitiza Tundu Lissu.

Tatu, Lissu amesisitiza kuwa watu wamedhalilishwa, hasa viongozi wa serikali na akina Mama kwa kauli chafu zinazotolewa.

Lissu amesisitiza hii nchi sio kila mtu ni mjinga na unaweza kuwadanganya kirahisi. Kuna watu werevu na wanakwenda kuwaambia wananchi kwa miaka mitano madudu yaliyofanyika.

Je, haya maajabu ni kweli yamefanyika huko Chato?

Je, wakazi wa Lindi, Dodoma, Mbeya, Ruvuma, Arusha, Mtwara, Kilimanjaro mnafahamu maajabu haya ya huko Chato?

Kwa hoja hizi ambazo hata mimi sikuzijua kwa miaka mitano, sasa nimeamshwa usingizini.

Hoja haipigwi rungu, bali hujibiwa kwa hoja. Hii ni kauli ya Dkt Jakaya Kikwete

CCM oyeee oyeeee oyeeee, jibuni hoja hizo!
 
haoni reli? Haoni madini? haioni Dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bure, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
 
Haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? Haoni CCM safi? Nk. Nk. Haoni?

Akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Eti hayo ndo mnakuja kuombea kura. Tutawanyoosha nyinyi.
 
Haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Hiyo mbuga inapakana na Rwanda kapeleka wanyama pori ili wakizaliana wengine wavuke boda angalau ndugu zake wapate vivutio vya utalii amka Mtanzania asili.
 
Ati huyu.. anataka kuongoza nchi hii!!!.. mipasho mipasho ipo kwa damu yake. Yeye anataka kuongoza.. ili akae Ikulu.. kupiga mipasho kwa Mh. Magufuli.. anaonyesha ana wivu sana na mafanikio ya Magufuli. wivu mubaya sana.. nyie munao mushangilia humu.. ni basi tu hamuwezi badili gia angani.. humu ila rohoni kura kwa Magufuli.. tumewazoea.. 2010.. 2015.

Si mukubali kwamba anawatia aibu.. nyie wafuasi wapenda maisha ya mukato.. aliyoziba Rais wenu mpendwa JPM.. yaani hana hata sera.. akiwongea ni upupwu tu anashusha. BTW akimaliza mazoezi tarehe 27 Okitoba 2020.. atakwenda shangilia kumaliza ndoto ya kupiga michapo.. tumbo tu mbele.. tamaa ya kupenda kutawaliwa na mabeberu.

Magufuli 2020💯
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni??
akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Sisi tumeelewa.Mwanzoni tuliona kuwa ni maendeleo. Sasa tumejua kumbe ni ubinafsi na ubabe umetumika kupeleka wanyama huko.Ahsante kampeni kwa kutuhabarisha.Tena ni zile fedha zilizomfukuzisha kazi CIAG 1.5Uonevu mbaya sana.
 
seedfarm,

Tundu lisu halijeelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Kama mpaka hapo hujagundua tatizo liko wapi basi wewe jitafakari tena. Kwanini Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete hawakujilimbikizia mali za umma makwao? Kama Nyerere angetaka kufanya hivyo asingeshindwa lakini alijua bado sehemu nyingi za nchi yetu zina uhitaji muhimu kama maji safi, huduma za afya, barabara n.k.

Hayo anayoyasema Lissu sio mageni masikioni mwetu sanasana analenga kupata majibu kwa njia ya hoja kutoka kwa mhusika na sio vitisho.

Alichokifanya Mh. Rais ni kitendo kisichokuwa na mashiko kwa taifa akiwa kama mkuu wa nchi.
 
Kosa lingine kwa Tundu lissu,

Lissu hatakiwi kumshambulia Magufuli.

Lissu anatakiwa atuambie atafanya Nini,kukomaa na Magufuli ni sawa na kuzidi kujipunguzia kura tu.

Hivi kujenga hospital kubwa 69 sio maajabu.

Kukarabati shule za sekondari ambazo haziguswa toka mkoloni si maajabu.

Chadema mjipange sana na lissu wenu mtajikuta mmeishiwa maneno baada ya wiki moja tu toka kuanza kampeni.
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

Akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Kwa miaka mitano kakopa trilioni ngapi?
 
Back
Top Bottom