Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Ni mlopokaji tu hana haiba ya uraisi bora angetulia zake tu huko huko kwa mabeberu ndo kuna mfaha hatuache tujenge Tanzania yetu
Burigi chato ilikuwa ni game reserve yeyet kaipa hadhi kuwa national park na nyingine tano ..... Jamaa ameaim kutanua utalii kwa mikoa ambayo haikuwa na utalii kabisa... Translocating animals sion kwamba ni shida..... Kama mnaijua kitulo national park ilikuwa na ndege na maua tu ila wameintroduce wanyama now...... Jamaa inawezekana akawa hajui hata tuna new parks.

Ni umeme kias gan unatoka kidatu au nyumba ya Mungu.... Na je new hydropower itakuwa na technologia ile ilee ya zamani au ni mpya na umememe umekuwa mwingi zaid.

Kuna hospital mpya ya kanda ya mtwara kubwa kweli. Kuna mrad mkubwa wa maji Arusha

Idadi ya watalii iliongezeka japo aliongeza kodi na nyie cdm mkamtishia watalii hawatakuja kwa kodi kubwa mbona walikuja. Na leo still wanakuna japo dunia inajanga la corona stil wanaiamin Tanzania sababu kuna rais anaethubutu.

Mwambie tundu atuambie ataifanyia nn hii nchi sio kumpaka mtu matope most of the Tanzanians saw what magu did for them wapo weng wanampenda na watamchagua.

Sio kumuita mtu msomi kila mtu ni msomi katika nyanja yake. Mtu kasoma hkl yake dah watu wamepiga nuclear physics huko, watu tumesoma degree ngumu kama veterinary medicine ila tumetulia wala hatuinui mikia.
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni??
akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Me nipo udongo-pepe, nanufaika vipi na hapo ubungo!? Hatuna maji safi wala madawa hospitalini. Au ndio tunywe mafuta ya ndege?.
 
Kwamba Chato haipo Tanzania kwa hiyo Magufuli ameenda kujenga uwanja Wa ndege na mbuga ya wanyama katika nchi nyingine kwa kutumia kodi za watanzania.

Mbona maajabu mengi yapo, Lissu hajui kwamba kwenye ikulu ya Dodoma pia kuna mbuga ya wanyama?

Kwa hiyo Lissu anataka kuwaambia nini wananchi Wa Singida?
 
seedfarm,

Tundu lisu halijeelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Siasa inamambo mengi. Bado sijaona hoja kuntu za mbadala. Tuombe uhai tujionee
 
seedfarm,

Tundu lisu halijeelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Kuna nidhamu gani kazin we kima. Watu wanaiba tena sana na undugunization ndo umeongozeka kwa sbb ya kutoajiri miaka mitano. Hivi jpm ni mtu au ni jitu
 
Yote uliyoorodhesha Nyerere aliyafanya vyema kuliko Magufuli.

Na bado Nyerere hakuthubutu kujenga Uwanja Wa Ndege Kule Butiama.
Mmeanza kumezeshwa maujinga kichwani na tundu? Chato hainahaki kujengwa uwanja wa ndege? Mbona KIA Ipo vijijini? Endeleeni kumskiliza huyo mropokaji asiyeweza kuona mazuri ya wengine.
 
mmeanza kumezeshwa maujinga kichwani na tundu? Charo hainahaki kujengwa uwanja wa ndege? Mbona KIA Ipo vijijini?
Chadema wanataka maendeleo yaende kaskazini peke yake. Mfundisheni Lissu Siasa bado mchanga sana. Siasa siyo sheria.
 
Me nipo udongo-pepe, nanufaika vipi na hapo ubungo!? Hatuna maji safi wala madawa hospitalini. Au ndio tunywe mafuta ya ndege?.
Ukijituma ikosiku utapita ubungo ukikimbizana na biashara taking, iposiku utapanda ndege kuwahi Mahalia, iposiku utamleta mgonjwa B Mkapa hospital Dodoma jitume acha kulalamika fanyakazi Kwa bidii utafaidi matunda kinyumechake tutafaidi wenzio.
Miaka Minne iliyopita sikudhani Leo nitapanda ndege long nmejituma Leo kawaida kuingia AT. Chagua wewe
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni??
akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Hayo siyo maajabu!
 
seedfarm,

Tundu lisu halijeelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Delete ccm Oct 28 ndo solution
 
Ukijituma ikosiku utapita ubungo ukikimbizana na biashara taking, iposiku utapanda ndege kuwahi Mahalia, iposiku utamleta mgonjwa B Mkapa hospital Dodoma jitume acha kulalamika fanyakazi Kwa bidii utafaidi matunda kinyumechake tutafaidi wenzio.
Miaka Minne iliyopita sikudhani Leo nitapanda ndege long nmejituma Leo kawaida kuingia AT. Chagua wewe
Unawaambiaje na familia yako iliyopo sigimbi huko!?.
 
Usiwe unakurupuka kwa mihemko ya kisiasa. Magufuli kwenda kujenga uwanja wa ndege Chato ni upuuzi wa aina yake na umemfunua jinsi alivyojaa ubinafsi na ubaguzi.
Unataka sote tuwaze upimbi uwazao wewe? Songwe, Nyerere, KIA, Mwanza, Mtwara, Msalato, Dodoma mjini kote viwanja vinajengwa/kutanuliwa je kote nikijijini kwake huko?
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni??
akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Ndege zinatutia loss mzee baba,

Huwezi wapanga ATC na ETHIOPIANS, QATAR, EMIRATES, KLM ,Nk ukategemea ATC watafanya biashara.
Hapo ni hasara juu ya hasara.

Kwa upande wa majizi ninachokiona ni kuondoka kwa majizi ya zamani na kuingia MAJIZI MAPYA.
 
Kosa kingine kwa Tundu lissu
Lissu hatakiwi kumshambulia Magufuli
Lissu anatakiwa atuambie atafanya Nini,kukomaa na Magufuli ni sawa na kuzidi kujipunguzia kura tu
Hivi kujenga hospital kubwa 69 sio maajabu
Kukarabati shule za sekondari ambazo haziguswa toka mkoloni si maajabu
Chadema mjipange sana na lissu wenu mtajikuta mmeishiwa maneno baada ya wiki moja tu toka kuanza kampeni
Kosa kubwa la Magufuli ameenda Chato ndani kujenga uwanja mkubwa wa ndege huku akijua kuwa hauna faida yoyote zaidi ya hasara. Yani ni kama kwa mfano Tundu Lissu awe Rais kisha akajenge uwanja mkubwa wa ndege Ikungi.

Ukiwa unaenda Chato unaupita mji mkubwa wa Geita kisha unaenda mji mdogo wa Katoro then Chato. Yani sijui alitumia findings zipi kujenga huko Chato! Sijui!

Yani ni kama marehemu Mkapa airuke Mtwara mjini, airuke Masasi mjini kisha aende Lupaso akajenge uwanja mkubwa wa ndege. Huu ni ujinga wa aina yake.
 
Muda wa kuwaambia atafanya nini bado. Yule anajua political psychology, lazima aseme madhaifu yake tujue. Nanyi ni jukumu lenu kumtetea magufuri kwakujibu hoja za lissu. Mfano kasema magufuri kajenga uwanja aa ndege kijijini kwske na kaweka hifadhi ya sanyama. Nyue njooni mjibu hizi hoja.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kwani chato ipo Kenya?
 
Ndege zinatutia loss mzee baba,
Huwezi wapanga ATC na ETHIOPIANS, QATAR, EMIRATES, KLM ,Nk ukategemea ATC watafanya biashara.
Hapo ni hasara juu ya hasara.
Kwa upande wa majizi ninachokiona ni kuondoka kwa majizi ya zamani na kuingia MAJIZI MAPYA.
Hasara imepatikana ya shilingi ngapi? Biashara ikianza lazima faida ipatikane mwanzoni? Kujaribu ni ujinga,kwakuwa zipo kampuni kubwa sisi hatupaswi kuwa na yetu? Jifikirishe zaidi
 
Back
Top Bottom