Hellow!
Wanachadema wameshakuelewa,
Umeeleweka Kwa watanganyika,
Ni muda sasa wa kuvunja urafiki na uhusiano na ndugu Msigwa ikiwa hatokubali kurudi CHADEMA.
Ndugu huyo, kwa kujiunga na tawala, tayari ni adui wako kimfumo sababu chama alichopo sasa kimeshiriki kukuumiza wewe na Watanzania wengi wasio na hatia.
Mwisho wa siku, Lissu akishinda uenyekiti na kufanikiwa kuianza safari ya matumaini, kamwe Msigwa hawezi Toka hadharani kukuunga mkono na kumwacha mgombea wa chama chake CCM,maana mfumo unazuia Hilo Kutokea.
Ushauri: Toka hadharani umkatae, mwambie tusijuane ikiwa Bado ataendelea kubaki chama hicho.
Ni hayo tu,
Karibuni 🙏