Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Mimi Sina shida na pesa yako
Tundu lisu asake pesa kwanza, awe hata motivational speaker atatajirika sana yaani awe na uwezo wa kuishi popote Duniani kwa muda wowote bila kuchangiwa hapo ndipo ataweza, bila hvy mtamulaumu tu Mbowe uhai wa Chadema ni ubilionea wa Mbowe familia nzima matajiri hayana njaa
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..

Ulipotea nikadhani umerudi shule kujifunza kuandika, kumbe umeenda kupiga umalaya, umerudi hata uliyokuwa unaweza kuandika sasa hivi huwezi tena! Maana hapo naona furushi la maneno ya kiswahili, yasiyo na maana yoyote.
 
Kama CHADEMA ni ya mabepari basi CCM ni ya majizi na majambazi.
 
Lissu ni bilionea wa watu
Sure. Lissu ni tajiri mkubwa kuliko serikali. Ana utajiri wa watu kwa kiwango cha kutisha, ndio maana walipotaka kumuua na kumnyima matibabu watu wakamchangia kuanzia damu hadi fedha kwa mabilioni na hakukwama hata siku moja.
Walipoona haitoshi wakamfukuza na kazi ili afe njaa na familia yake, ajabu Leo ukiwaangalia yeye na familia yake wanang'aa kuliko hata jpm tunayemlisha kila mlo bure.
Hivyo Lissu ni tajiri kweli wa rasilimali watu na hao ndio wapiga kura
 
Kwanza Lissu hela ana na bado anamadeni lukuki.
 
Acha ukabila nguruwe ww
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
Nyie mtegee kushinda kwa nguvu ya dola na si kwa hoja/ushawishi.
 
Ulipotea nikadhani umerudi shule kujifunza kuandika, kumbe umeenda kupiga umalaya, umerudi hata uliyokuwa unaweza kuandika sasa hivi huwezi tena! Maana hapo naona furushi la maneno ya kiswahili, yasiyo na maana yoyote.

Omba toba.. kwa kuandika yasiyonihusu
Halafu meza panadol.. mimi nitachezesha kichwa yenu humu.. anza kulia kabisa.. hamunibabaishi.. na bado.. lia kabisa.. kumekucha..
 
Nyie mtegee kushinda kwa nguvu ya dola na si kwa hoja/ushawishi.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sasa munajuta.. mlikosa fanya hayo awamu hii.. mukawa wadandiaji tu wa kusubiri Serikali haswa Mh. Magufuli wanasema nini.. mumekuwa vituko.. hadi tukajua.. wakati wa kusikia wadaku nyie ni upi..

2020 KUMEKUCHAAAAAAAAAA
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
Hivi hiki ni kiswahili au kiebrania mbona sielewi?
 
Ulipotea nikadhani umerudi shule kujifunza kuandika, kumbe umeenda kupiga umalaya, umerudi hata uliyokuwa unaweza kuandika sasa hivi huwezi tena! Maana hapo naona furushi la maneno ya kiswahili, yasiyo na maana yoyote.

Shule hiyo yako.. mimi nimejifunza haya.. naomba unisahihishe wewe unayetaka kuwa mwalimu wangu..

My postπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Relax relax.. it's okay to be scared.. I can tell your heart is beating faster than normal.. please drink a glass of water.. before you start weeping.. Cocochanel the Coco.. πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½

Nasubiri tumaksi..
 
Hivi hiki ni kiswahili au kiebrania mbona sielewi?

Tabu yenu hamujui kufikiria nje ya boksi.. munaonyesha munapenda lishwa na kijiko hadi kwa koo.. hamujui kuwa na yale mumeyajua na kuunga.. mupo kama kila kitu mutu arudie rudie tu..

Muna tabu kubwa.. poleni na hao wenzako mupo bomuuu.. hamuko wajanja kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…