Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Jifunze kuandika kwa kiswahili mbona simple tu.
 
Ulipotea nikadhani umerudi shule kujifunza kuandika, kumbe umeenda kupiga umalaya, umerudi hata uliyokuwa unaweza kuandika sasa hivi huwezi tena! Maana hapo naona furushi la maneno ya kiswahili, yasiyo na maana yoyote.
Aliwekwa kinyumba na Daudi Albert Bashite
 
Omba toba.. kwa kuandika yasiyonihusu
Halafu meza panadol.. mimi nitachezesha kichwa yenu humu.. anza kulia kabisa.. hamunibabaishi.. na bado.. lia kabisa.. kumekucha..
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa munajuta.. mlikosa fanya hayo awamu hii.. mukawa wadandiaji tu wa kusubiri Serikali haswa Mh. Magufuli wanasema nini.. mumekuwa vituko.. hadi tukajua.. wakati wa kusikia wadaku nyie ni upi..

2020 KUMEKUCHAAAAAAAAAA
Unatujia hapa na kiswahili ya Kenya utanyooka tuu
 
Fundisha mimi basi.. [emoji3][emoji3][emoji3] kama vile ni lugha lazima muntu ajue.. jivunie lugha ya kabila lako kwanza..
[emoji851][emoji851][emoji851]coco- bhana sasa kila mmoja akiandika lugha yake tutaelewana kweli.

Kama uko tayari kufundishwa sema ila kuna ada kidogo[emoji41]
 
[emoji851][emoji851][emoji851]coco- bhana sasa kila mmoja akiandika lugha yake tutaelewana kweli.

Kama uko tayari kufundishwa sema ila kuna ada kidogo[emoji41]

Vizuri umecheka.. haya nukuu yale naandika.. chaji ya ada andika humo humo.. nitajifunza hivyo.. sawa mwalimu.. utafikiri ulipata somo ya kiswahili 99.9% kwa mitihani ya Taifa. 😀
 
Lissu anaweza kuwa Raisi wa kwanza aliyechaguliwa kwa pesa ya wananchi, tena mchango wa TS200/= kwa kila mtu.

Imagine 6,000,000 x 200
 
Vizuri umecheka.. haya nukuu yale naandika.. chaji ya ada andika humo humo.. nitajifunza hivyo.. sawa mwalimu.. utafikiri ulipata somo ya kiswahili 99.9% kwa mitihani ya Taifa. 😀


Sasa tena umeanza kubeza matokeo yangu..sikufundishi sasa baki na kiebrania chako.
 
Kwa hiyo Magufuli yeye ni tajiri, ametoa hela wapi na huku hana Tin Namba na wakati anatuaminisha kuwa anapigana dhidi ya ufisadi.

Kuwa mjinga sio kosa, kosa ni kuanika huo ujinga ulionao.
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
Mambo long time my dear
 
Wewe ni mzishi sana, Slaa alikuwa na pesa gani?
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
Naona takataka za lumumba zimefufuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
TL wala hahitaji kampeni kubwa
Hivi hawa Watanzania wenzetu kama ni kweli Watanzania, wanaishi wapi? Greenland ? au Actic Cycle? Kama Lowasa ilifanyika Kampeni nzito nchi nzima kitu gani kinampendelea Tundu Lisu? au ushabiki maadazi?
 
Slaa alikuwa ana hela gani?Mbona alipewa nafasi kugombea?Umeandika upuuzi mtupu,propaganda mfu!
Lumumba kumejaa mafuvu tu!
 
Lissu amekuwa tishio kubwa kwa ccm na huyo ni mtu mmoja tu tena yupo nje ya nchi. Huyu shujaa atakapotua nchini sijui itakuwaje. Na ccm mkimgusa tu mjue ndio mmeharibu kila kitu nchi hii.
[/QUOTE]
Wagombea wote wa Chadema hawana fedha ndio maana wamemualika Membe!
Lissu ni bilionea wa watu
Huwa nampenda Sana huyu baba kwakweli tunatamani aje hata huku kwetu Congo atufungue Tanzania mmepewa bahati Sana
Gwajima ni mchawi na mwizi na mtaji wake ni wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…