Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu.
Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa kuondoka pamoja na kushindwa kuisema hadharani sababu halisi.
Kuhusu kutosha au kutotosha kwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe... Lissu alizunguka mbuyu na kushindwa kujibu swali hilo akidai ni wanachama wanaoamua na si yeye.