bASI NADHANI NI DESKTOP YANGU INA KASOROSauti iko sawa mkuu, labda device yako
Dr Slaa akili kubwa
Kwanini msimtumie kugombea huko CCM??Alafu kuna mataahira kutoka chadema yanamtukana dr slaa
Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa kuondoka pamoja na kushindwa kuisema hadharani sababu halisi.
Kwahiyo unaipenda Chadema? MnafikiAlafu kuna mataahira kutoka chadema yanamtukana dr slaa
Tundu kama Makamu mwenyekiti hawezi kusema Mbowe mwenyekiti wake anafaa au hafai.Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu.
Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa kuondoka pamoja na kushindwa kuisema hadharani sababu halisi.
Kuhusu kutosha au kutotosha kwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe... Lissu alizunguka mbuyu na kushindwa kujibu swali hilo akidai ni wanachama wanaoamua na si yeye.
Anaweka akiba ya maneno mambo yakienda mrama baina yake na mwenyekiti?
Halitatokea kamweSAUTI IKO CHINI SANA, ALL IN ALL NAOTEGEMEA MBOWE NA LISU WAKOSANE, MUENDE MJIZIKE MAPEMA MAANA HILO HALIPO
Mpeni nafasi agombee upande wenu sukuma gangDr Slaa akili kubwa
Leo hata kuhusu Slaa amejibu vyema..amejibu kwa usahihi kabisa kuhusu Mh.Mbowe.
..tatizo kuna baadhi tayari wanayo majibu ya maswali wanayotaka Lissu aulizwe.
Mkuu, kuna kipindi nimeanza kuwa na shauku kubwa moyoni mwangu kwamba, unafaaa sana kuwa kiongozi mkubwa katika hii nchi,Nakumbuka ni Lissu ndie alituambia Dr. Slaa alifichwa ndani na mke wake baada ya ujio wa Lowassa, na kama ameshindwa kuisema hadharani hiyo sababu nyingine ndio haeleweki kabisa, kwani anaficha kitu gani?
Najua Lissu anajua anategwa kwenye hizi interviews anazofanya kila siku, sasa kuliko kukwepa mitego na kutengeneza sintofahamu nyingine, ningemshauri akae na viongozi wenzake wajue namna ya kufanya..
Inavyoonekana, ni kama CCM wamekosa hoja za kuwaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara, sasa wanachofanya ni kutafuta makosa kwenye mahojiano ya Lissu ili wazushe kuna mgogoro Chadema,
Anarudi ChademaMpeni nafasi agombee upande wenu sukuma gang
Namuona kila siku amekuwa mpambe wa Lissu.Anarudi Chadema
😅😅😅😅kwamba hao waandishi wanatumwa na Ccm?Nakumbuka ni Lissu ndie alituambia Dr. Slaa alifichwa ndani na mke wake baada ya ujio wa Lowassa, na kama ameshindwa kuisema hadharani hiyo sababu nyingine ndio haeleweki kabisa, kwani anaficha kitu gani?
Nikiangalia trend ya Dr. Slaa siku hizi, ni kama ameanza kurejewa na akili, na haya majibu ya Lissu kumhusu Dr. Slaa ni kama kumpamba, inawezekana kuna "mchezo" unaendelea chini ya carpet.
Najua Lissu anajua anategwa kwenye hizi interviews anazofanya kila siku, sasa kuliko kukwepa mitego na kutengeneza sintofahamu nyingine, ningemshauri akae chini na viongozi wenzake, wajue namna nzuri ya kufanya..
Kwasababu inavyoonekana, ni kama CCM wamekosa hoja za kuwaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara, sasa wanachofanya ni kutafuta makosa kwenye mahojiano ya Lissu ili wazushe kuna mgogoro Chadema,