Tundu Lissu sio mtu kawaida


Wachina umewaona?
 
Kila mtu mtu ana silika yake, kila mtu ana mnyama wake, kama umechungulia ukaona mnyama wa lisu ni mkubwa na mkali ishia kumuangalia tu isimloge utakufa
 
Lissu ana nyota fulani ya ajabu sana. Siku ile ya Mahakama Live nilipomuona tu moyo ulipatwa na furaha na uchungu kwa wakati mmoja.
 
Mnatuboa bana tunaotumia simu......zipunguze.
#noreforms no election
 
Nasikia ni hodari sana wa kulenga kwenye mtondoo!!
 
Nilivyoona pale mahakamani wababa wazima wanatoa machozi alafu yeye anatabasamu nikajisemea huyu mtu kuna kitu kipo ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…