Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

Burudani kabisa
 
Watumishi kura zote kwa Lissu ndo wanasema hivyo.Wametulia wana hasira za chinichini.Bado graduates walio mtaani
 
Ccm imekutana na mengi lakini bado inapambana
 
Nahii pia umelisahau wote wenye simu janja hawasomi magazeti nakutazama TV kwa kupata habari, kwa taarifa anazopata mwenye simu janja nitofauti kabisa naànayesoma magazeti, ndomana ukiangalia mikutano ya Lisu imekuwa maarufu kadiri siku zinavyokwenda japo haziandikwi magazetini wala kutangazwa kwenye TV kubwa,,
 
Lisu akishinda nakuhakikishia atatangazwa.
Lisu ni zaidi ya unavyomuona, ni jasiri kuliko unavyomuona.

Nimetoa ushauri hapo, ningekuwa mimi ningemuengua hapo NEC kwa figisu figisu.

Siku 60 ni nyingi sana,
hata NEC wakimkata wajiandae
 
Hii ni moja ya uzi mlefu kwa huu ✓
 
MBONA TAYARI WAMESHAMTUMIA MEMBE KUPUNGUZA NGUVU ZA UPINZANI kwa kugawa kura zao. Mtu wa kitengo usimuamini hata siku mwenga
Wasipo shirikiana wataopoteza sio chadema watanzania wanajuwa hii Sana ndio maana pamoja Kila chaguzi CCM wanashinda ila wanapunguza kiwango chaushindi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…