Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tanzania haiwezi kuishi bila dunia ila dunia inaweza kuishi bila Tanzania

Dunia ya sasa hakuna taifa linalo weza kuishi bila kutegemea taifa lingine narudia halipo.
 
Mwambie Lissu kwa sasa mashirika ya ndege, Ethiopia imeongeza kutoka 4 flights mpaka 14, Qartar 3 mpaka 12. Hivyo hivyo kwa KLM. Uhusiano upi anautaka?

Ule wa viongozi kupishana angani hatuataki Kwa sababu ulikuwa ni miradi ya watu kupiga masurufu ya safari. Wako watumishi wa serikali wamekuwa mamillionea kupitia huo mradi.
 
NDUGU HUU UCHUMI WA MAO Ulipingwa sana China na watu kama Deng Xping,, waliamini kabisa kwamba Mao alifanya makosa makubwa kuifunga China na Dunia,,. dENG xPING ALIWEKWA KIZUIZINI na Mao kwa zaidi za ya miaka 8. Baadaye baaada ya Kufariki Mao, Deng XPING Alikuja transform huo mfumo kwa kuingiza chembe chembe nyingi za kibepari.
Na hata sasa Cuba nao wanafanya haya haya.

Hat NORTH KOREA wapo taabani kabisa ukifananisha na wenzao wa South Korea,, hata East Germany ambayo pia ilikuwa na sera hizo za closed economy hali yao ilikuwa Mbaya ukifananisha na West Germany kabla ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlin na kwa kweli CHINA wanamshukulu sana kiongozi wao DENG XPING aliyebadilisha mambo,, kwa kuiingiza sera za ubepari ambazo Mao Hakutaka hata kusikia. Na ndio maana taifa likapiga hatua kubwa sana

Na RUSSIA hii ya PUTIN siyo Russia ya Lenin, wala Stalin ,,kwa sasa wameingiza sana sera na mtazamo wa kipebari kwenye uchumi wao na waliachana kabisa na sera za closed economy.

KWAIYO NI SAHIHI KWAMBA DUNIA INAWEZEKANA BILA TANZANIA, LAKINI TANZANIA HAIWEZEKANI BILA DUNIA,,.
 
Lakini usisahau kuwa tumekopa fedha nyingi za mabeberu kwa hi miaka 5 ya Magufuli
 

Tuliishinda Korona kwa kusema hakuna kutoa taarifa zozote za ugonjwa
Sio kama Kuna kitu kilifanyika ikawa ndio Kinga hapana

I'm so sure hata Leo ukipima watu Kuna ambao wanakorona so hakuna la kujisifu kwa hapo kwamba umeishinda korona

Kama ni ishu ya maombi na kusali, Yan Sala Maka zilifeli sie kwetu zikafaulu?
 
Issue ni kuwa Mao na Lenin kuweka closed economy ndio kulichochea kugundua

Wangejali hao wapinzani china na Russia isingekuwa ilipo kuwa tishio kwa Marekani na Ulaya sasa .Kujenga nchi namba one task ni ku deal na vibaraka wapinga step forward ndicho Mao na Lenin walifanya na ndicho Tanzania kinatakiwa kufanywa wawe ndani ya COM au nje
 
Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
Acha mawazo mgondo mtanzania mwenzangu,
Badala ya kuamini kuwa unaweza kuwa Kama wao na hata zaidi wewe unaamini kuwa Huwezi hata kufikia robo ya uwezo wao.

Mbona China ilitawaliwa na wajapani na wajapani wakaamini kuwa wao Ni Bora zaidi kuliko wachina, Ila wachina walivyojitambua na kuamini wao Wanaweza kuliko wajapani na wakaweza kweli.

So illusion is not better but "imagination is more important than knowledge" Einstein.
 
Wewe acha kutafuta ugari wa kulisha family yako ungoje jirani yako aje akulishe wewe na watoto wako.
 
Hapo ndipo unapofeli , hiyo mifumo ya closed economy imekuwa ikifanywa na wajamaa au wakomunisti tuu, na issue yangu ni kwamba haikuwahi kufaulu kwa sababu nchi za kijamaa nyingi zikawa za kimskini sana na hiyo Closed economy yao,, Hat leo ukitaka transfer of techonlogy huwezi kuipata ukiwa umejifungia, lazima utume vijana nje ya nchi yako, wakaibe maaraifa na technologia,, Haya haya ya Closed economy ndiyo yaliyo ifikisha hapa Venezuela ya Hugo Chavez,,leo inatapa tapa,, imekuwa na umaskini si wa dunia hii pamoja na kuwa na mafuta ya kutosha,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Halafu ugunduzi unaweza kuwepo hata kwenye open economy , mfano ni South Korea, Singapore
 
Mkuu kwa elimu yetu hii ya kukaririshwa jamaa hana haki ya kusema hivyo.
Kwa mfumo wa elimu wa hapa kwetu aitatokea kujifananisha na hizo nchi ulizo zitaja.
 
Jamaniiii anaowaabudu Tundu Lissu waufyata Mkia kwa Mahakama ya uharifu wa kivita baaada ya kuwazuia wasiingie Marekani kutokana na ICC kuanza kuwachunguza juu ya uharifu wa kivita
 
N.Korea ina technology ya juu,pamoja na vikwazo inajikongoja lakini China inaipa msaada mkubwa,Tanzania tecknolojia 0%,ikijitenga inakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…