Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Huyo mtu wa kale kabila lake lilikuwa ni lipi?Tanzania ilikuwepo...Mtu wa kale aliishi Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu wa kale kabila lake lilikuwa ni lipi?Tanzania ilikuwepo...Mtu wa kale aliishi Tanzania
NDUGU HUU UCHUMI WA MAO Ulipingwa sana China na watu kama Deng Xping,, waliamini kabisa kwamba Mao alifanya makosa makubwa kuifunga China na Dunia,,. dENG xPING ALIWEKWA KIZUIZINI na Mao kwa zaidi za ya miaka 8. Baadaye baaada ya Kufariki Mao, Deng XPING Alikuja transform huo mfumo kwa kuingiza chembe chembe nyingi za kibepari.Tundu Lisu re uchumi
Uchumi uko wa aina mbili open economy ambayo nchi haiwezi ishi bila kutegemea nchi ingine
Aina ya pili ya uchumi ni closed economy ambapo nchi hukataa kuishi kwa kutegemea nchi nyingine kabisa
Nchi zote zilizoendelea zilianza na closed economy mfano China mwaka 1949 Mao tse Tung alitangaza mapinduzi ya kiutamaduni alifunga mipaka yote akasema kila kitu kinachohitajika china wachina wenyewe wagundue vingine wafe hakuna kuna ku mport wala kuexport chochote China iwe elimu au bidhaa au huduma
Wachina wakaingia kazini kugundua vitu kibao kuanzia dawa za kichina nk Baadaye uchumi wa china ukafunguliwa yeye ndio biggest exporter wa Bidhaa world wide anakopesha hadi marekani
Magufuli kuna vitu kufanya ni close economy ili ku save pesa za kigeni ili kujenga Maendeleo ya ndani badala ya hizo pesa kupelekwa nje kwa kisingizio cha semina,warsha na safari za Raisi na ujumbe wake ulaya na marekani
Lakini usisahau kuwa tumekopa fedha nyingi za mabeberu kwa hi miaka 5 ya MagufuliTundu Lisu re uchumi
Uchumi uko wa aina mbili open economy ambayo nchi haiwezi ishi bila kutegemea nchi ingine
Aina ya pili ya uchumi ni closed economy ambapo nchi hukataa kuishi kwa kutegemea nchi nyingine kabisa
Nchi zote zilizoendelea zilianza na closed economy mfano China mwaka 1949 Mao tse Tung alitangaza mapinduzi ya kiutamaduni alifunga mipaka yote akasema kila kitu kinachohitajika china wachina wenyewe wagundue vingine wafe hakuna kuna ku mport wala kuexport chochote China iwe elimu au bidhaa au huduma
Wachina wakaingia kazini kugundua vitu kibao kuanzia dawa za kichina nk Baadaye uchumi wa china ukafunguliwa yeye ndio biggest exporter wa Bidhaa world wide anakopesha hadi marekani
Magufuli kuna vitu kufanya ni close economy ili ku save pesa za kigeni ili kujenga Maendeleo ya ndani badala ya hizo pesa kupelekwa nje kwa kisingizio cha semina,warsha na safari za Raisi na ujumbe wake ulaya na marekani
Usidhani wote mburula humu! Corona tumeishinda kwa kuwa hatupimi tungeendelea kupima ungeona maajabu!! Kwanza naamini ni immunity zetu tu!!Corona tumeweza kuishinda bila msaada wa jirani
Corona tuliishinda bila kutegemea taifa lolote duniani liwe la ulaya ubelgiji marekani au Kenya ambayo kutwa Chadema hukusifia kuwa kuko vizuri kwa matibabu
Lisu mwongo Ushahidu ni ushindi wetu dhidi ya corona kuwa taifa likiamua laweza survive bila msaada wa nchi yoyote
Issue ni kuwa Mao na Lenin kuweka closed economy ndio kulichochea kugunduaNDUGU HUU UCHUMI WA MAO Ulipingwa sana China na watu kama Deng Xping,, waliamini kabisa kwamba Mao alifanya makosa makubwa kuifunga China na Dunia,,. dENG xPING ALIWEKWA KIZUIZINI na Mao kwa zaidi za ya miaka 8. Baadaye baaada ya Kufariki Mao, Deng XPING Alikuja transform huo mfumo kwa kuingiza chembe chembe nyingi za kibepari.
Na hata sasa Cuba nao wanafanya haya haya.
Hat NORTH KOREA wapo taabani kabisa ukifananisha na wenzao wa South Korea,, hata East Germany ambayo pia ilikuwa na sera hizo za closed economy hali yao ilikuwa Mbaya ukifananisha na West Germany kabla ya kuanguka kwa Ukuta wa Berlin na kwa kweli CHINA wanamshukulu sana kiongozi wao DENG XPING aliyebadilisha mambo,, kwa kuiingiza sera za ubepari ambazo Mao Hakutaka hata kusikia. Na ndio maana taifa likapiga hatua kubwa sana
Na RUSSIA hii ya PUTIN siyo Russia ya Lenin, wala Stalin ,,kwa sasa wameingiza sana sera na mtazamo wa kipebari kwenye uchumi wao na waliachana kabisa na sera za closed economy.
KWAIYO NI SAHIHI KWAMBA DUNIA INAWEZEKANA BILA TANZANIA, LAKINI TANZANIA HAIWEZEKANI BILA DUNIA,,.
Kuna nduguyo au jirani aliyekufa kwa Corona ?Usidhani wote mburula humu! Corona tumeishinda kwa kuwa hatupimi tungeendelea kupima ungeona maajabu!! Kwanza naamini ni immunity zetu tu!!
Acha mawazo mgondo mtanzania mwenzangu,Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
Hapo ndipo unapofeli , hiyo mifumo ya closed economy imekuwa ikifanywa na wajamaa au wakomunisti tuu, na issue yangu ni kwamba haikuwahi kufaulu kwa sababu nchi za kijamaa nyingi zikawa za kimskini sana na hiyo Closed economy yao,, Hat leo ukitaka transfer of techonlogy huwezi kuipata ukiwa umejifungia, lazima utume vijana nje ya nchi yako, wakaibe maaraifa na technologia,, Haya haya ya Closed economy ndiyo yaliyo ifikisha hapa Venezuela ya Hugo Chavez,,leo inatapa tapa,, imekuwa na umaskini si wa dunia hii pamoja na kuwa na mafuta ya kutosha,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Issue ni kuwa Mao na Lenin kuweka closed economy ndio kulichochea kugundua
Wangejali hao wapinzani china na Russia isingekuwa ilipo kuwa tishio kwa Marekani na Ulaya sasa .Kujenga nchi namba one task ni ku deal na vibaraka wapinga step forward ndicho Mao na Lenin walifanya na ndicho Tanzania kinatakiwa kufanywa wawe ndani ya COM au nje
Ulimpima na nini?Tanzania ilikuwepo...Mtu wa kale aliishi Tanzania
Mkuu kwa elimu yetu hii ya kukaririshwa jamaa hana haki ya kusema hivyo.Acha mawazo mgondo mtanzania mwenzangu,
Badala ya kuamini kuwa unaweza kuwa Kama wao na hata zaidi wewe unaamini kuwa Huwezi hata kufikia robo ya uwezo wao.
Mbona China ilitawaliwa na wajapani na wajapani wakaamini kuwa wao Ni Bora zaidi kuliko wachina, Ila wachina walivyojitambua na kuamini wao Wanaweza kuliko wajapani na wakaweza kweli.
So illusion is not better but "imagination is more important than knowledge" Einstein.
Jamaniiii anaowaabudu Tundu Lissu waufyata Mkia kwa Mahakama ya uharifu wa kivita baaada ya kuwazuia wasiingie Marekani kutokana na ICC kuanza kuwachunguza juu ya uharifu wa kivitaWakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?
Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Jamaniiii anaowaabudu Tundu Lissu waufyata Mkia kwa Mahakama ya uharifu wa kivita baaada ya kuwazuia wasiingie Marekani kutokana na ICC kuanza kuwachunguza juu ya uharifu wa kivita
N.Korea ina technology ya juu,pamoja na vikwazo inajikongoja lakini China inaipa msaada mkubwa,Tanzania tecknolojia 0%,ikijitenga inakufaWakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?
Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Huyo mtu wa kale kabila lake lilikuwa ni lipi?