Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Mkuu.
Maombolezo, kwa sehemu kubwa ni usanii tu.
Ndugu yangu,Kwa Watanzania hawa wewe acha tu!Walimtandikia Lowasa kanga na kufagi barabara.Alipokuja Lissu wakampa mpaka uchifu.
Leo hao hao wanaanguka na kuzimia.
Watanzania ni wanafiki kupindukia!!
 

Who can match the man himself, the true son of Afrika, John Pombe Magufuli!!!!?
 
Wewe ni msukuma na msukuma mwenye akili wachache mno
Wewe usiekuwa msukuma nilitegemea uwe na akili,ila Sasa hata swala dogo la kuweka sawa mapngilio wa maneno kwenye sentensi limekushinda. Endelea kubet,au subiri hoja mserereko zinazolingana na ubongo wako.
 
Matokeo yeyote huru yatakubalika.Sehemu sahihi tufanyie hapa JF!

Ha ha ha! Kura za JF siku zote Upinzani huwa unashinda,njoo sasa kwenye uhalisia,huwa ni kilio. Tuliokuwepo JF tangu enzi hizo tunajua hili. Yanini kujifariji na kura za JF ambazo nusu ya Wapiga kura wake kwenye uhalisia huwa hawaendi kupiga kura? Subiri 2025 ndiyo utaelewa.
 
Ndugu yangu,Kwa Watanzania hawa wewe acha tu!Walimtandikia Lowasa kanga na kufagi barabara.Alipokuja Lissu wakampa mpaka uchifu.
Leo hao hao wanaanguka na kuzimia.
Watanzania ni wanafiki kupindukia!!

Watanzania huwa wanawafanyia Usanii Wapinzani peke yao. Inapokuja swala la kura sote tunajua nani huwa anaambulia mabua.
 
Tundulissu needs a fast psychological help. He is still fighting the shadows of the ghost of our deceased former president Dkt . John Joseph Pombe Magufuri.

How do you raise claims and accuse the person who is no longer around to defend himself against such accusations?!

The best thing to do is to count his losses and move on with life as it is......

Attacking the person who is no longer around is a general taboo.

He needs help. A very quick help.....
 
Kumbe ume copy huu Ujinga wako

The Obituary I Promised to Write!!!

Link hiyo[emoji1546][emoji1546]
 
Kwamba amefurahi kuona "ameenda"!!
Ajabu,,,,
Anyway atarudi
 
mtu mwenye akili timamu angesoma mpaka mwisho wa mada angeona link. angetulia kidogo tu angejua hiyo ni article ya Lissu imeandikwa kwenye hilo gazeti. So siku nyingine tumia akili
 
Stop spreading nonsense please
 
Fact
 
Una Ongea Upuhuzi mtupu.
Jaribu kutofautisha Nyakati
Huwezi linganisha Nyakati zaku Dai Uhuru na wakati huu waku jenga Nchi.

Tumeishi na Nyerere wakati mrefu bila Mambo Makubwa katika sector za Maendeleo.
Nyerere Ali jikita Kujenga Taifa moja ki Mtazamo na fikra.

Katika nyanja za Maendeleo ni swala lingine kabisa
Kwamba viongozi wengi walio pita Wali shindwa kuleta mabadiriko yaki Uchumi pamoja naku tawala kwa Miaka 10

Lakini Ndani ya Miaka 5 ya Magufuli tumeona mabadiriko yaki Uchumi na Nchi kuwa na Muelekeo una Tia Faraja na Uwaminifu kwa viongozi

Zamani tuli Sema CCM ime oza hakuna kazi inayo fanyika tofauti na Rushwa.
Tuka Lilia Maendeleo ya Vitu.

Kikwete wapinzani Wali Sema ni mzaifu hawezi kupambana na Rushwa.

Muhula wa kwanza wa CCM Uli rudisha Chama ku aminika Tena kwa Wananchi


Tuone haibu kwamba Dunia ya Sasa Kuna Vitu lazima viwepo Nchini

Kama vile:
Maji Safi yaku tosha
Umeme wakutosha
Barabara za Lami nyingi
Hospital zaku tosha Zenye huduma nzuri
Usafiri Mzuri wa anga na Majini
Kuwa Na Kilimo cha kisasa
Elimu kwa bure kwa ngazi ya Secondary
Na Mengine Mengi

Miaka 7 iliyo pita Hii Nchi ilikuwa ya Matukio ya Rushwa na Upigaji kila kona
ila Leo Nchi kila Uki amka ni Taharifa za Miradi na Ufunguzi wa Miradi iliyo kamilika.

Ifike Hatuwa Tuwe na Haibu tunapo Tembelea Nchi za Watu.

Wenzetu walipo Pata Kiongozi waku ijenga Nchi Wali mkumbatia naku Mpa ulinzi wakutosha lakinini sisi hatuna Maono ya Maendeleo kupitia Sisi wenyewe tuna Subiri Marekani na Ulaya pia China waje na Pesa kutu jengea Nchi Yetu wakati ni ndoto za Mchana kweupe.

Tunaweza ku ijenga [emoji1241] kama tuta amua Kuijenga naku pambana na kila changa Moto.
 
,njoo sasa kwenye uhalisia
MaDED,MaDC,MaRC,Polisi,TISS,JWTZ,MGAMBO,Tume Ya Uchaguzi,Msajili Wa Vyama Vya Siasa,Mahakama,Bunge ,ongezea na wengine; hawa wote ni MAWAKALA wa CCM.Sasa hapo upinzania utashindaji.Shahidi wa haya yote No.1 Mimi mwenyewe nilishuhudia uchaguzi uliopita!
 
Hii jamaa ishajikatia tamaa.Mtu kafa,imetafuta walau aibu msibani nako imekosa basi now haiishi kujiandikisha mitandaoni wakati wenye access na hii kitu hapa kwetu hawafiki walau 5m.Sijutii kutokuipa kura yangu2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…