Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

It was in this environment that I was nearly assassinated on 7 September 2017, some two hours after Magufuli had declared, on national television, that those who opposed his economic war “[did] not deserve to survive”.

It was also in this climate of political repression that many Chadema leaders and political activists; journalists and social media bloggers; artists and businessmen; human rights activists, or simple peasants and fishermen in and around the country’s sprawling protected areas, were either
murdered, kidnapped, or disappeared.

Many were tortured in police cells or in secret locations operated by the intelligence and security services or charged in courts of law with economic offences, the most preferred being money laundering.
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Elimu eliimu elimu..comprehension kilikua kipimo cha ufahamu tukiwa shule. Ujibuj wa maswali ndy kilikua kipimo cha uelewa .Sishangai kuwa watu wanaweza kuelewa hivi na mwandishi ambae nae hakuelewa alichooandika akawa hajaelewa wasomaji wataelewa ama hawataelewa!!
 
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Kama Magufuli alimtuma Paul Makonda na kikundi chake wakamwagie mvua ya risasi, kisha wakamzike kijijini kwao Ikungi Singida. LAKINI Lissu hakufa

Na aliponusurika akapelekwa kutibiwa Nairobi na Belgium huku Magufuli akasitisha asilipiwe gharama za matibabu, akamnya g'anya mshahara na mafao ya ubunge akamnya g'anya na ubunge LAKINI Lissu HAKUFA

Bado akaja kugombea u-Rais na akawa na mvuto kuliko Magufuli na Magufuli analijuwa Hilo ndiyo maana akaamua KUIBA UCHAGUZI wote na kujipa 84%.

Magufuli pamoja na kulindwa na ma unduki na magari ya kudhibiti internet na kila kitu amekufa kizembe tu kwa kukaidi COVID19 na sasa maiti yake inazurulishwa kila mahali, LAKINI Tundu Lissu yuko HAI. Kama huamini katika Mungu hapa lazima UKUBALI kuwa MUNGU YUPO.

Usimchukulie Tundu Lissu kirahisi, anakubalika na kueleweka na WATANZANIA wengi sana. Tuombe uhai tuione 2025

Nitakuja kukumbusha hapa! Tuombe Uzima.
 
Magufuli came to power through democratic elections. He then turned on the democracy that brought him to power and tried to destroy it and his political opponents and rivals through state violence and bloody purges.

Having been part of the CCM governments for the previous two decades, he can rightly be said to have been part of the problem that he now wished to violently solve. Without any excuse, legitimate or otherwise, he had to manufacture an “economic war” against unnamed foreign enemies in order to justify his bloody war on democracy.
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?

Hizi kazi za JPM kafanya kama wajibu wa rais yoyote aliye madarakani, hata wakoloni walifanya hayo walipokuwa madarakani. Je wakati Nyerere anaitisha maandamano kudai uhuru kwa wakoloni, alikuwa amejenga madaraja mangapi, na railway ngapi?

Wakati Kaburu Pieter Botha wa Afrika Kusini anajenga Afrika kusini kwa madaraja, mahospitali nk, Nyerere, watanzania na waafrika wengine kazi yao ilikuwa kutaka Afrika kusini iwekewe vikwazo, huku Mandela aliyekuwa hajajenga hata kilomita mbili za barabara ya udongo, akiandamana kuwapinga wazungu waliokuwa wanajenga nchi yao. Kwa maelezo haya nadhani utakuwa umekaa vizuri na huo uzandiki wako. Ni hivi, ni ngumu kutetea udhalimu.
 
Jobless kama wewe ungechangiya 400 ya kuweka betri kwenye moyo.

Huwa sicomment kwa watu wapumbavu,kaa pembeni pita kule kwenye Comment yangu,achia Wastaarabu wanaojua nini maana ya kupingana kwa Hoja. Narudia tena skip my Comment. Idiot. joka kuu unaona upuuzi kama huu tumeudiscuss kwa Thread ile nyingine. JF imevamiwa na vijana wapumbavu sana.
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Magufuli!
 
Huwa sicomment kwa watu wapumbavu,kaa pembeni pita kule kwenye Comment yangu,achia Wastaarabu wanaojua nini maana ya kupingana kwa Hoja. Narudia tena skip my Comment. Idiot. joka kuu unaona upuuzi kama huu tumeudiscuss kwa Thread ile nyingine. JF imevamiwa na vijana wapumbavu sana.
Unataka kusema naona unamuita mmeo akutetee
 
Ndani ya moyo wa Lissu, ukweli unamsuta na anafahamu adui yake sio Magufuli anamtuhumu tu kama scapegoat.

Lissu was compromised na analijua hilo yeye mwenyewe, makosa yake ni kutumikia mabeberu.

Kauli za mtu zinamfunga kwanini Lissu aendelee kujihami kuhakikishiwa usalama wake atakaporudi wakati Magufuli keshatangulia mbele za haki?

Who else would want to harm Lissu now and why? Only he has the answer knowing his crimes against the state.
 
Anaishi mbali na nchi anaonekana yuko ndotoni, anasahau jambo moja la msingi, kuwa kati ya wale waliojitokeza kuchangia matibabu yake, ndio wale waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege alivyokuja kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliopita.

Huruma ya hao watu ndio hiyo hiyo iliyowasukuma kujitokeza kwa wingi barabarani kumuaga Magufuli baada ya kufariki, chuki yake kwa Magufuli asilazimishe kuirithisha kwa watanzania wote, sawa alipigwa akaumizwa, lakini huruma ya watanzania huwa haichagui, na wala asijidanganye ana hatimiliki ya kupendwa na watanzania.

Kwa hii move yake sisemi uongo na wala sitaki kumliwaza yeyote, Lissu is disappointing big time, kuipiga mateke maiti sio ujanja ni ushamba, na hili litamfanya aonekane mropokaji, like it or not, write in English or Chinese.

Atarudi Tz watampokea tena kwa wingi, after that, that will be it, he is crossing the line, nothing lasts forever aliwapata wafuasi wakati wa shambulio, now anawapoteza.
 
Hivi kwa akili za kawaida utaiombeaje nchi yako ipigwe vikwazo halafu wewe upo nje nchi kama sio wehu ni nini.

Yaani wananchi unaotaka wakupigie kura unataka kuwaingiza kwenye shida tena shida za kuwaombea
tatizo kubwa kwa Lisu hasa ktk utawala huu uliokuwa wa Jiwe (R.I.P) ni kutokuwa mnafki, Lisu anakupa makavu yako kwa hoja mchana kweupe...jambo ambalo lilikuwa halikubaliki kabisa awamu ya tano!.

ilitakiwa kupongeza tuu kwa maneno yote matamu unayoyajua hapa duniani!.
 
Back
Top Bottom