Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Jamaa yenu ni mjinga na hayuko political matuared..... utafikiri mwanafunzi wa secondary kazi yake ni kukamia.....!!!!!?
mkamia maji hayanywi....
Huna hoja , tulia tuache wengine tuendelee kuuchambua uongozi wa Magufuli , wala usitake kujinyonga , viongozi wote huchambuliwa
 
Huna hoja , tulia tuache wengine tuendelee kuuchambua uongozi wa Magufuli , wala usitake kujinyonga , viongozi wote huchambuliwa
Na ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....
niwaambia wazi kabisa kazi yenu itabaki kupiga kelele tu huku mitandaoni kamwe narudia kamwe CDM haiwezi kuja kutawala Tz....
 
Na ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....
niwaambia wazi kabisa kazi yenu itabaki kupiga kelele tu huku mitandaoni kamwe narudia kamwe CDM haiwezi kuja kutawala Tz....
Vipi kuhusu hizo hoja za Lissu hapo juu , kwanini msikusanyike kuzijibu basi ?
 
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Huyo mropokaji uhai wake hauna faida yoyote kwa Tanzania na watanzania. Ana kipi chakutufanya tumfikirie? Huyo ni mfu anaeishi.
Madaraja amekufa ila kumbukumbu lake halitatutoka watanzania hasa kila tukiyaangalia madaraja.
Na kumbukumbu ya mropokaji ipo
 
huyu hatarudi tanzania lazima watamfanyia kitu na ilikuwa halali kbs kumiminiwa risasi
 
Ndani ya moyo wa Lissu, ukweli unamsuta na anafahamu adui yake sio Magufuli anamtuhumu tu kama scapegoat.

Lissu was compromised na analijua hilo yeye mwenyewe, makosa yake ni kutumikia mabeberu.

Kauli za mtu zinamfunga kwanini Lissu aendelee kujihami kuhakikishiwa usalama wake atakaporudi wakati Magufuli keshatangulia mbele za haki?

Who else would want to harm Lissu now and why? Only he has the answer knowing his crimes against the state.
Huwa najiuliza?hivi siku moja lissu ikatokea akamjua adui yake wa ukweli atafanyaje?

Ova
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Shida mmezoea kuficha maovu ya wafu....Polen
 
Hahahah mkuu "welter" imeshindikana....maana yake ni idadi kubwa ya vitu..so hapa Lissu alimanisha "kwa idadi kubwa ya majina bandia" kama....
 
Bahati nzuri tushamjua yeye ni nani.
Screenshot_20210322-121537~3.png
 
jamaa ni matata
Ah mie ningekuwa yeye ningekuwa namwaga tuu articles au nipo zangu court room na suit matata naanza mambo ya cross examine the witness na my well polished english.....your honor i would like my client to be released on his own recognizance🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Kama Magufuli alimtuma Paul Makonda na kikundi chake wakamwagie mvua ya risasi, kisha wakamzike kijijini kwao Ikungi Singida. LAKINI Lissu hakufa

Na aliponusurika akapelekwa kutibiwa Nairobi na Belgium huku Magufuli akasitisha asilipiwe gharama za matibabu, akamnya g'anya mshahara na mafao ya ubunge akamnya g'anya na ubunge LAKINI Lissu HAKUFA

Bado akaja kugombea u-Rais na akawa na mvuto kuliko Magufuli na Magufuli analijuwa Hilo ndiyo maana akaamua KUIBA UCHAGUZI wote na kujipa 84%.

Magufuli pamoja na kulindwa na ma unduki na magari ya kudhibiti internet na kila kitu amekufa kizembe tu kwa kukaidi COVID19 na sasa maiti yake inazurulishwa kila mahali, LAKINI Tundu Lissu yuko HAI. Kama huamini katika Mungu hapa lazima UKUBALI kuwa MUNGU YUPO.

Usimchukulie Tundu Lissu kirahisi, anakubalika na kueleweka na WATANZANIA wengi sana. Tuombe uhai tuione 2025
Mungu alivo msawa ,yeye ndo katangulia kijijin ,mwezako yuko ulaya.shame
 
Maadui wa Tanzania na ustawi wake wasidhani hata kidogo kwamba wanaweza kumchumbia kwa ufanisi Mh Rais Samia na kumwondoa kwenye harakati madhubuti za kulijenga Taifa letu zuri la Tanzania. Miaka 5 ya JPM imefichua rangi halisi za kila mtu -- ndani & nje ya nchi -- kadiri Tanzania na maendeleo yake vihusikavyo.
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Alipewa dili la ukibaraka wa acacia lakini likabuma.
 
Back
Top Bottom