Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Kumbe ulikuwa na kura yake jomba?
 
Huwa najaribu kuvaa viatu vya lissu ni ki-emagine anavyovuta kumbukumbu ya kishindo cha risasi 16 mwilini mwake..., huwa sipati picha.
na sasa wamemuacha na kilema cha kudumu1

Ila mwacheni MUNGU aitwe MUNGU
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Mbona unajifanya kusahau kazi zingine za huyo wa kwanza. Kwanini umeziacha hizi zingine?
Kununua wapinzani, kukanyaga misingi ya demokrasia, sheria, utu na utawala bora, wapinzani kupigwa risasi, kuminya uhuru wa vyombo vya habari, kutengeneza watu wasiojulikana, ktumbua watu, mkudhalilisha watu, kugawia watu fedha za serikali barabarani nje ya bajeti, kumfukuza CAG, kuharibu uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa, kudumisha ukabila na ukanda ya ziwa, kuwachukia wachaga, kuwagawia madaraka wale awapendao kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, kuwakemea viongozi wa dini wanaohamasisha kuchukua tahadhari za ugonjwa wa Corona, n.k.
 
Sasa huyu jamaa na ngeli yake ya ukweli namna hii alikuwa anajihangaisha nini kwa siasa...nimeikubali english yake.
Lissu ana akili sana! Natamani kama angefundisha Chuo Kikuu ili tupate wasomi wenye fikra pevu kama zake. Huwezi amini kuwa mtu kama huyu hatumiki katika Taifa lake. Watu wabishi wa hoja kama hawa ni muhimu kuchangamsha nchi.
 
Huwa sicomment kwa watu wapumbavu,kaa pembeni pita kule kwenye Comment yangu,achia Wastaarabu wanaojua nini maana ya kupingana kwa Hoja. Narudia tena skip my Comment. Idiot. joka kuu unaona upuuzi kama huu tumeudiscuss kwa Thread ile nyingine. JF imevamiwa na vijana wapumbavu sana.
Wewe hata maandishi hapo juu unadai lissu kaandikiwa unaweza thibitisha hilo .
 
 
Hunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?
mbona mi ana kura yangu labda asigombee tu
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Kwani lazima awe Rais? Haya tu anayoyafanya kwangu yanatosha kabisa tena kuliko urais. Nilitamani awe Rais Jiwe akiwa hai ili aone namna bora ya kuendesha nchi. Sasa hayupo, hivyo siyo lazima Lissu awe Rais. Haya anayoyafanya ni somo zuri sana kwa Taifa na viongozi wetu. Hongera sana Lissu. Nashangaa mtu anadhamiria kumuua mtu kama huyu! Mbaya zaidi anakufa yeye sasa. Mungu hadhihakiwi.
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania.Ni mwanasiasa gani unatrigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe,ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Sasa kama ulimchangia kwani lazima utwambie hapa? Kwa hiyo unataka urudishiwe hela yako? Halafu uliwahi kuona waliomchangia wanajitokeza kutwambia humu jukwaani? Hivi nyie CCM akili zilielekea wapi? ndio maana mnamchuuza marehemu juani na vichochoroni kutwa kucha. Hamna utu nyie.
 
Died with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.
Why are you thinking in a stupidity manner like this? Is this your own country or a country of we all? Stop such stupid perception of thinking that this country is your. It is ours. You have already inherited bad behaviour from the deceased! Poor you.
 
Sasa huyu jamaa na ngeli yake ya ukweli namna hii alikuwa anajihangaisha nini kwa siasa...nimeikubali english yake.
Kuna watu, kwa kutoelewa tu au upeo mdogo, wanashindwa kuelewa uwezo wa Tundu Lisu. Uelewa wa Tundu Lisu katika mambo mengi, nibwa kiwango cha juu sana.

Tundu Lisu ni mkweli ja mwaminifu mkubwa wa nafsi yake. Ni mtu aliyeushinda unafiki. Anaongea kilichopo akilini na moyoni mwake, hata kama kuongea huko kutawakarehesha au kuwaudhi watu wengine.

Hata wakati huu wa maombolezo ambao wwtu wengi hupenda kuonekana wanasikitika hata pale wasiposikitika kutokana na msiba huu, Tundu Lisu ameendelea kueleza kilichopo akilini na moyoni mwake. Kwake kama kama marehemu alipokuwa hai alikuwa mgomvi na mkaidi, atasema hivyo hivyo, wala hawezi kubadilisha na kusema marehemu alikuwa mkali na mwenye msimamo.

Mtu kama Tundu Lisu ni zawadi kwa Taifa na Dunia, maana si wengi wanaoweza kuunena ukweli wakati wote, mahali pote, kwa watu wote, kwa mazingira ya aina zote.
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
1. Wafu ndio akina nani? Toa mfano wa mfu mmoja. Ila asiwe yule mliyemwita Chuma hicho.
2. Taja beberu mmoja tu ambaye tanzania haina shirika naye na tunayepaswa kumkimbia kwa namna yoyote.
3. Taja kiongozi mmoja wa Dini aliyetukanwa na Lissu. Au yule aliyewakemea viongozi wa dini wanaovaa barakoa ni Lissu?
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Daaaaaaah we jamaa kiazi kweli, nawe ukafikiria na kuandika hicho?
Shule umeenda kweli? Maana hayo mawazo yako ni ya mtu ambaye hajasoma tena wa matombo huko ndani ndani? Soma ulichoandika afu kufikiria mwenyewe,.
Acha hoja za kitoto
 
Jobless kama wewe ungechangiya 400 ya kuweka betri kwenye moyo.
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Wanajifanya kumpigania na kumtetea lakini wameshindwa kuchangia kufunga betri iliyochomoka.
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Twambie ni nani aliyempiga risasi?
 
Hunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?
A good politician always anacheza na psychollogy za watu kuwapata wafuasi, anatazama upepo unavyokwenda kama ukielekea north na yeye anaenda north, ukigeukia south na yeye anaenda south, huyu jamaa analeta ujuaji anajidai kupishana na upepo, ngoja akigeuka ajikute yupo mwenyewe ndio akili zitamrudia, hizi filimbi zake huku jf nazitazama tu, naziona zinakupigia kelele wewe tu.

Hizi kelele zake zikishazoeleka ndio basi, sijui atakuja na style gani nyingine mpya, anaonekana wazi kabisa ana mihemko, furaha yake ya Magufuli kufariki anataka kuitangazia dunia ijue, then what? anadhani Mungu anampenda sana yeye zaidi ya Magufuli, anajiona ana haki zaidi ya wengine, maandiko yanasema; "Yesu hakuja kwa wenye haki, alikuja kuwaita wenye dhambi wapate kutubu, Luka: 5:32) na akizidisha hizi kelele ataonekana chizi.
 
Back
Top Bottom