take my note, Mama Samia HAWEZI na hatashirikilana nanyi tena katika Kuteka, Kutesa, kupoteza, kubambikizia watu kesi na Kuua watu - Kitakachofanyika ni mwenye makosa yoyote yale kufuata mkono wa Sheria zetu za nchi.Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Ko,ta za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Hata mimi sina hamu tena ya Lissu kuwa Rais kwa sababu nilitaka Lissu awe Rais huyu anayeanikwa juani kutwa kucha akiwa hai ili aone maana ya uongozi.Lissu hawezi pata urais ndani ya inchi hii na alichokifanya marehemu kilikua sahihi,binafsi namchukulia lissu kama mamruki tu na msaliti wa inchi hii alionywa mara nyingi sana hakuwa msikivu na lile ni onyo tu hawakutaka kumuua
Lisu amejimaliza!! Amekosa hekima!! Huwezi kumshambulia kipenzi wa watanzania halafu utegemee kuwa watakuunga mkono. Nadhani Lisu amekata tamaa baada ya kushuhudia watanzania walivyokuwa wanampenda Sana Magufuli!! Nadhani hakuwa analijua hilo kwa uhakika. Akitaka kujua kuwa Lisu si tu kuwa hakubaliki, lakini kwa sasa anachukiwa pia, basi na aje Tanzania aone jinsi ambavyo watanzania watajipangaLissu kwenye ubora wake
Nashukuru umezielewa kazi za hao wawili!!take my note, Mama Samia HAWEZI na hatashirikilana nanyi tena katika Kuteka, Kutesa, kupoteza, kubambikizia watu kesi na Kuua watu - Kitakachofanyika ni mwenye makosa yoyote yale kufuata mkono wa Sheria zetu za nchi.
Mama ana hofu ya Mungu, na ndiyo maana washirika wa marehemu wanatoa michozi ya damu kumlilia baba yao. Who knows - je kama Mama Samia akiamua kuunda Tume ya kijaji kuchunguza matukio yote ya Kupotea, Kutesa, Kubambikiza kesi na hata Mauaji yoyote yenye utata yaliyojitokeza? uwezo huo anao kilichopo ni utashi tu kuliamsha dude !!
Kesheni mkiomba - asiamue kufanya hivyo, mtaumbuka wengi mno.
Mbona hukunukuu maandiko wakati ule Lissu anapigwa risasi? Yale yasemayo usiue, mpende jirani yako kama nafsi yako, lile unalotaka mtu akufanyie basi na wewe yafanye kwa wengine. Au umejiunga na ukristo tarehe 17/03/2021 saa tano usiku?A good politician always anacheza na psychollogy za watu kuwapata wafuasi, anatazama upepo unavyokwenda kama ukielekea north na yeye anaenda north, ukigeukia south na yeye anaenda south, huyu jamaa analeta ujuaji anajidai kupishana na upepo, ngoja akigeuka ajikute yupo mwenyewe ndio akili zitamrudia, hizi filimbi zake huku jf nazitazama tu, naziona zinakupigia kelele wewe tu.
Hizi kelele zake zikishazoeleka ndio basi, sijui atakuja na style gani nyingine mpya, anaonekana wazi kabisa ana mihemko, furaha yake ya Magufuli kufariki anataka kuitangazia dunia ijue, then what? anadhani Mungu anampenda sana yeye zaidi ya Magufuli, anajiona ana haki zaidi ya wengine, maandiko yanasema; "Yesu hakuja kwa wenye haki, alikuja kuwaita wenye dhambi wapate kutubu, Luka: 5:32) na akizidisha hizi kelele ataonekana chizi.
Kwani kuna siku CCM walimshangilia Lissu? hao watakaomzomea ni sawa tu maana si ni wapinzani wake? Mbona hata huyu mnayezurula naye vichochoroni na juani kutwa kucha alizomewa kule Mbeya? Kuzomewa na wapinzani wako ni jambo la kawaida kabisa na wala usiamuru wapigwe risasiLisu amejimaliza!! Amekosa hekima!! Huwezi kumshambulia kipenzi wa watanzania halafu utegemee kuwa watakuunga mkono. Nadhani Lisu amekata tamaa baada ya kushuhudia watanzania walivyokuwa wanampenda Sana Magufuli!! Nadhani hakuwa analijua hilo kwa uhakika. Akitaka kujua kuwa Lisu si tu kuwa hakubaliki, lakini kwa sasa anachukiwa pia, basi na aje Tanzania aone jinsi ambavyo watanzania watajipanga
barabarani si kwa lengo la kumpokea bali kwa lengo la KUMZOMEA!! Nina uhakika akiamua kuja Tanzania atakuja kimya kimya na usiku!! Lisu umejitakia balaa hili mwenyewe!!
Nyie wakujibiwa na hoja,wakati hoja mzilizo zijenga 2010-2015 (ufisadi na Lowasa),kwa vinywa vyenu 2015 mkazikataa kwa dk 5.
Sasa ikiwa mtu anakipinga alicho kiongea kwa kinywa chake kwa miaka 5 mfululizo,sasa huyo mtu huoni kama ana uchizi na utahira.
Alafu wenyewe mnajiita wanaharakati,hebu watizame wanaharakati [emoji116][emoji116][emoji116],wamekufa na misimamo yao.
View attachment 1733179
Mwisho wa siku tumewagundua ni waganga njaa.
CCM imeshindwa vita, askari wao amepotea kizani kabla ya kumaliza vita !! Uliyetaka awe marehemu anaishi - hili la kuwajaza watu ujinga ni dhambi nyingine pia - Watazidi kuumbuka as days goes on.Lissu analindwa na wasioonekana dhidi ya mabaki ya wasiojulikana
CCM wanazidi kuwajaza chuki za kijinga Wananchi kuwa etia Lissu na Mabwebweru ndio wanamkono kwenye kifo cha Rais
Hizo ni kauli zenu zisizo na uhalisia. Dunia haitabiriki. kwani hata huyu mlitegemea leo atakuwa anaanikwa juani na kuzurula naye mitaani, barabarani na vichochoroni bila huruma namna hii? Si muliaminishwa kwamba ni Chuma? Jiwe? Sasa yako wapi hayo majigambo? Tupendane tu na kutakiana mema.Nashukuru umezielewa kazi za hao wawili!!
Kwa bahati mbaya huyu wa pili hatashika hiyo nafasi anayoitolea udenda maisha yake yote
Hawa watu wawili Kwa maana ya Jembe na mbeligiji, kila mmoja amejitahidi kupandikiza mbegu mioyoni mwa WatanzaniaKwa kweli Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mtu aliyejiita Chuma, mara Jiwe leo wanamzungusha juani, vichochoroni na mitaani akiwa ndani ya sanduku wakati yule aliyetoa amri ya kuuawa akiwa yupo hai. Hili ni fumbo kubwa mno! Ni fundisho kwa wote wanaowatakia wenzao mabaya. Ingawa kwa kweli nilitamani sana Lissu awe Rais wakati huyu wanayezurula naye vichochoroni akiwa hai.
CCM ni watu wapenda shari shari tu - Msiba huu wameufanya mali yao wote - kwa sasa ni kumtembeza maiti kupata millage za kisiasa ili kujaribu kusafisha yote yaliyomhusu marehemu enzi za uongozi wake.Hizo ni kauli zenu zisizo na uhalisia. Dunia haitabiriki. kwani hata huyu mlitegemea leo atakuwa anaanikwa juani na kuzurula naye mitaani, barabarani na vichochoroni bila huruma namna hii? Si muliaminishwa kwamba ni Chuma? Jiwe? Sasa yako wapi hayo majigambo? Tupendane tu na kutakiana mema.
Unakera, sasa unatofauti gani na wale wanaosemaga wanaume wote ni mbwa?what did you do in such time of assassination attempt? Kila wakati tunasisitiza usimfanyie mwenzio lile usilopenda wewe kufanyiwa. Mlimdhihaki Lissu alivyopigwa zile risasi, eti wamepigana wao kwa wao. kama kweli wamepigana risasi wao kwa wao si muwakamate? kwani mimi nikimpiga risasi mtoto wangu nitaachwa? Mlidhihaki na hata huyu mnayezurula naye mitaani na mkimuanika juani bila huruma hakumpenda kabisa Lissu. Ukiuliza sababu anasema anamkosoa. Ona sasa Mungu alivyo. Wewe ulitegemea leo mliyemwita Chuma, Jiwe awe anaburuzwa mitaani na juani bila huruma namna hii? Hata kuzika ni kama hawataki, wanataka waendelee kuzurula naye vichochoroni. Hii ni aibu. Karibia wiki ya pili sasa ni kuzurula na mwili wa mtu angani na barabarani. Heshima ya marehemu ni kumhifadhi na siyo kuzurula naye huku na huku. Huu siyo ubinadamu kabisa.
Kabla ya kuwa Raisi ulimwona wapi akitukana nchi na viongozi wake?Hizo ni kauli zenu zisizo na uhalisia. Dunia haitabiriki. kwani hata huyu mlitegemea leo atakuwa anaanikwa juani na kuzurula naye mitaani, barabarani na vichochoroni bila huruma namna hii? Si muliaminishwa kwamba ni Chuma? Jiwe? Sasa yako wapi hayo majigambo? Tupendane tu na kutakiana mema.
Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wachache wanaotaka kuficha udhalimu wa Magufuli! Ni vema maovu yake yote yaorodheshwe ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo na pia funzo kw viongozi wajao.Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?
Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.
Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.
Cc. JokaKuu
Mungu fundi aiseeDied with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.