Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Anaishi mbali na nchi anaonekana yuko ndotoni, anasahau jambo moja la msingi kuwa kati ya wale waliojitokeza kuchangia matibabu yake, ndio wale waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege alivyokuja kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliopita.

Huruma ya hao watu ndio hiyo hiyo iliyowasukuma kujitokeza kwa wingi barabarani kumuaga Magufuli baada ya kufariki, chuki yake kwa Magufuli asilazimishe kuirithisha kwa watanzania wote, sawa alipigwa akaumizwa, lakini huruma ya watanzania huwa haichagui, na wala asijidanganye ana hatimiliki ya kupendwa na watanzania.

Kwa hii move yake sisemi uongo na wala sitaki kumliwaza yeyote, Lissu is disappointing big time, kuipiga mateke maiti sio ujanja ni ushamba, na hili litamfanya aonekane mropokaji, like it or not, write in English or Chinese.

Atarudi Tz watampokea tena kwa wingi, after that, that will be it, he is crossing the line, nothing lasts forever aliwapata wafuasi wakati wa shambulio, now anawapoteza.
Labda wewe na ukoo wako ndio mmepotezwa
 
Na ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....
niwaambia wazi kabisa kazi yenu itabaki kupiga kelele tu huku mitandaoni kamwe narudia kamwe CDM haiwezi kuja kutawala Tz....
Bahati mbaya wewe huna mamlaka yoyote. Ni sawa na kima tu wa mwituni
 
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k

Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za maendeleo ya nchi yetu

Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
dikteta amekwenda
 
Mbona hukunukuu maandiko wakati ule Lissu anapigwa risasi? Yale yasemayo usiue, mpende jirani yako kama nafsi yako, lile unalotaka mtu akufanyie basi na wewe yafanye kwa wengine. Au umejiunga na ukristo tarehe 17/03/2021 saa tano usiku?
Naona unahangaika kum quote kila mtu, kunywa maji utulie utapasua hicho kichwa bure huku Lissu unaemlilia sidhani hata kama anakujua.
 
Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wachache wanaotaka kuficha udhalimu wa Magufuli! Ni vema maovu yake yote yaorodheshwe ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo na pia funzo kw viongozi wajao.
Hawa dada zetu kwa nini wanataka mimi nichume kwanza ndiyo anikubali badala ya kushirikiana nami tuchume kwa pamoja?

Magufuli bana! Anatufanya sisi mazuzu, alituahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka 2015 kabla hajawa Rais. Alipoapishwa akatugeuka kwa madai anajenga stigler's gorge, standard gauge na ma-flyover. Sasa anakuja na ahadi ile ile!
Hatudanganyiki!
Kelele zote kumbe NJAA....Usijali NIYEYE TL 2090!
 
Kwa kweli Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mtu aliyejiita Chuma, mara Jiwe leo wanamzungusha juani, vichochoroni na mitaani akiwa ndani ya sanduku wakati yule aliyetoa amri ya kuuawa akiwa yupo hai. Hili ni fumbo kubwa mno! Ni fundisho kwa wote wanaowatakia wenzao mabaya. Ingawa kwa kweli nilitamani sana Lissu awe Rais wakati huyu wanayezurula naye vichochoroni akiwa hai.
Mtu aliyekuwa hafikiki kirahisi na watu kwenye uhai wake. Kila wakati kazungukwa na mamitambo ya ulinzi na wanajeshi makomando wa PSU, leo anazungushwa kama samaki wa feri waliododa.

Tafakari Mara mbili, ule siyo umaarufu. Ni adhabu ya Mungu tu
 
Unakera, sasa unatofauti gani na wale wanaosemaga wanaume wote ni mbwa?

Kwann usimtafute aliyedhihaki jaribio la mauaji kwa TL ndo umwambie hayo mambo ya kudhihaki?

Ww umeshawahi niona nikidhihaki jaribio la mauaji la TL? Maana unanijumuisha tu bila mpangilio.

Unatoa majibu ukiongozwa na chuki. Unajibu tu hujiulizi.

Kuhusu kumuaga JPM hayo ni maamuzi ya serikali, familia, ndugu, rafiki na wafuasi wa marehemu.

Wewe upo kwenye kundi lolote kati ya hayo? Kama haupo tulia heshimu maamuzi ya wenye msiba, akifa anayekuhusu zika haraka hakuna atakaye kuuliza, maamuzi yako yataheshimika.
Sasa wewe ni binadamu wa aina gani unayekereka na ujumbe wa binadamu kupendana? Nimesema yale unayopenda kufanyiwa basi na wewe wafanyie hivyo wenzako, halafu wewe unakereka. Kwa hiyo tukueleweje unayekereka kwa ujumbe wa amani?
 
Mpinge kihoja sio unaropoka!!yeye kataja zake nawe taja hoja zako ndio haswaa uchangiaji wa hoja ulivyo.
Lazima umpime uwezo unayebishana naye. Tunaokoa muda, hawa wengine wamezoea FB na Instagram
 
Labda wewe na ukoo wako ndio mmepotezwa
Msubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.
 
Lisu atulie tu kwa sasa.kueleweka kwa sasa ni kazi ngumu amuige mwenyekiti wake mbowe
 
Mr Devil, hivi walimu wako walikufundisha hivyo kweli: Uyu = Huyu, ata = Hata, nk. Mnadhalilisha sana walimu wenu, nenda kaangalie notice zako za darasa la nne, huwezi kuyakuta hayo maneno uliyoandika hapo juu, uyu,..... ata.....!!!!!! aibu sana.
Wale wale tu
 
Msubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.
Wishful thinking, with lots of pain. Pole sana
 
Mtu aliyekuwa hafikiki kitahisi na watu kwenye uhai wake. Kila wakati kazungukwa na mamitambo ya ulinzi na wanajeshi makomando wa PSU, leo anazungushwa kama samaki wa feri waliododa.

Tafakari Mara mbili, ule siyo umaarufu. Ni adhabu ya Mungu tu
Mungu kawapa upofu fulani hivi ili tujue binadamu tusiinue mabega kujidai. wanazurula naye angani na nchi kavu. Hii ni adhabu na fundisho tosha. Kulitokea kiongozi mmoja Katili sana kule Liberia aliitwa Samwel Doe. Alipokufa walizunguka naye mitaani karibia mwezi mzima wakifikiri ni heshima kumbe wale waliokuwa wakizunguka naye walisema wanataka kutoa ujumbe kwa umma kwamba wamepata fursa ya kumdhalilisha aliyewadhalilisha wenzake. Baadaye wakaanza kumburuza tu na gari. Hadi mamlaka za nchi walipoingilia kati kwamba pamoja na ubaya alioufanya sasa inatosha waende wakamzike.
 
Sasa wewe ni binadamu wa aina gani unayekereka na ujumbe wa binadamu kupendana? Nimesema yale unayopenda kufanyiwa basi na wewe wafanyie hivyo wenzako, halafu wewe unakereka. Kwa hiyo tukueleweje unayekereka kwa ujumbe wa amani?
Sababu haikuwa ujumbe wako wa amani, sababu ni kugeneralise uhusika wa kufurahia shambulio la mauaji la TL.
 
Back
Top Bottom