Naomba nikuulize swali Mkuu,unadhani Mbowe yeye ni mtu wa kuremba remba? Mbowe yeye hana machungu aliyopitia? Kwanini amekaa kimya kipindi hiki? Kama pana mtu ame earn my respect ni Freeman Mbowe na kwakweli acha tu aendelee kuwa M/Kiti hata kwa 20yrs to come,he is too smart.
TL alipata wafuasi wengi sana kupitia masaibu yaliyompata,anavyobwata bwata hivi,anawapoteza wote. Kama mna penda aje kugombea na pengine kuongoza hii Nchi,mwambieni amefail vibaya sana ktk kipindi hiki kutokucontrol emotions zake unless mnataka muendelee na wimbo ule ule wa “tumeibiwa kura” come 2025.