Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Magufuli hayupo, raisi aliyepo madarakani alienda kumjulia hali mpaka hospitali Nairobi.

Mtu mwingine anaemthumu ni Makonda ambae kwa sasa ni civilian, kama ni usalama anahofia aliyekuwa mkurugenzi wakati wa shambulio lake sasa hivi yupo nje ya nchi kama balozi.

Kwa kifupi wale wote aliokuwa anawatumu kwa namna moja au nyingine hawapo kwenye nafasi zao tena.

Kwa ivyo argument za kusema anahofia usalama wake hazina msingi tena; we’ll unless kama kuna mengine anayoyajua yeye mwenyewe.
 
Mungu?

Hakika Tundu hatokufa milele baada ya kumsema Magufuli au sio?
 
Jamaa hivi alisaliti Nini nchi hi? Kwanini Kati ya raia wote yeye akajihisi? Ni wakati Sasa wa kutueleza namna gani alitusaliti badala ya kusema tu alitusaliti nchi hii!!!
 
Uchaguzi 2025 hata ingetangazwa hiyo siku uitakayo ungefaidika na nini mkimbizi!
Baada ya andiko lake ameshakuwa rais wa Jamhuri Sasa huyu anaejiita msaliti na alipigwa sababu ya usaliti wake lakini hataji alisaliti Nini?
 
Hivi kesi ya kuivunjia mkataba Acacia inaendeleaje huko MIGA? Vipi na zile evidences Nyalandu, Maria na Amsterdam walizokusanya zimeshaanza kufanyiwa kazi huko mahakamani?
Baada ya kusema hayo nashukuru Sasa rais wa mioyo yetu amerejea nchini na anatuongoza vyema.
 
Wafuasi wake wataelewa akifufuliwa
 

Kwanini wewe una define maoni yake binafsi juu ya huyu mzee kama chuki?

Kwa hiyo na wewe una chuki na Tundu Lissu kwa sababu anaonekana kutofautiana na mtazamo na staili ya uongozi wa huyo marehemu?

Acheni watu wazungumze. Huyu Magufuli alikuwa kiongozi wa taifa hili kubwa la watu karibu 60M..

Ni kweli isiyopingika kuwa ameathiri watu wote either positively or negatively..

Tuwaache watu wote kila mtu aseme kwa namna yoyote alivyoathiriwa na utawala wa mtu huyu...

Binafsi, I never liked him and his leadership style. Siku zote nilikuwa naomba aondoke kwa njia yoyote iwe kwa kushindwa uchaguzi au kujiuzuru au kuuacha Urais wetu..

Lakini Mungu ni Mungu tu. Njia zake ni zake tu. Kamfuta kabisa duniani kwa kuruhusu mauti imwondoe mysteriously kama asemavyo Tundu Lissu..

Sasa hizo tamaduni zenu kuwa marehemu huwa hasemwi kwa mabaya, NI ZA KWENU, KAENI NA MFE NAZO NYIE..

Sisi tutamsema kwa sababu matendo ya mtu humfuata kokote aendako hata huko kaburini...!

Hata mimi, I am frankly relieved that he has gone forever...

Na inasemekana keshampitia na mama yake. Naye ameshakufa kwa sababu ya kifo cha mwanae...

Ndugu zangu acheni kabisa. Dhambi ni mbaya sana. Dhambi ni hatari sana. Dhambi inaua wala haiwezi kumkwepa mtu yeyote. Dhambi ya kunyima haki watu na kumwaga damu zao inapotendwa na kiongozi mkuu (mfalme) wa nchi huathiri na kunajisi taifa zima na kila mtu..

Soma historia ya binadamu utaelewa hili nisemalo. Hatutakiwi kuilea wa kumlea mtenda dhambi especially anapokuwa kiongozi mwenye maamuzi dhidi ya maisha ya watu wengi..

Sasa angalia, kwa sababu ya uovu wa mtoto dhidi ya watu wasio na hatia aliopewa dhamana ya kuwaongoza kwa haki, anasababisha kifo cha bibi wa watu, mama yake..!

Na inashangaza kwa siku karibu 7 wanaitembeza maiti ya mtu muovu barabarani huku wakiumiza watoto na ndugu siku zote hizi. Huku ni kuwafanya watu waabudu sanamu (maiti ya Magufuli)...

I am not part of it...
 
We nani Kakwambia Rushwa Imeisha?
Unajua kuna upotevu wa Bilion 6 mpaka sasa tunapoongea

Unajua kuna milion 200 imetumika kumweka Mama mtu kwemye life support kwa Miaka 2 bila Maelezo?

Unajua kuna udanganyifu mkubwa wa kuongeza milion 800 kila ndege disparency hiyiöo

Unajua uwanja wa ndege wa Chato licha ya kutofuata Taratibu Kuna ongezeko la Gharama hewa?

Unajua pesa kutoka WHO ya Covid 19 imepigwa hatujui ilipo?

Unajua kwamba Ujenzi wa Meli ya MV Victoria wakandarasi wanadai kiasi Tofauti na kilichoandikwa?

Unajua Upigaji hadi kwenye CoVIDA yaan wako na Makonda wamashirikiana?

Ranchi ya Byentulege Kagera Jamaa kajibinafsisha?

Hujasikia hata Mbunge mstaafu wa Nkenge Bwana Diodorus Kamala akilalamika kuhusu ng'ombe kuingizwa Ranchi ya Kitengure Kinyemela na Jamaa wa Rwanda walibadilishana Madini?

Ujaelewa Reservation za Madini B.O.T kupitia Mpwa wake wameichota na Kuipeleka Seyshells?

Mnaimba Mapambio weeeee

CC tindo na BAK
 
Huu utakatifu wenu sijui mmeutoa wapi na huyo malaika wenu mkuu.

Hata maana ya "kuabudu sanamu" huijui, hujijui wewe ndio sanamu lenyewe, kasome;

Wakolosai 3:5.

Usipoelewa hapo wacha ujuaji nitafute nikueleweshe.
 
Ni mapema mno
 
Died with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.
Wisdom
 

Irrelevant.
 
. Affection is always greater than perfection.
 
You are crazy cant...
 
Huyu Lussi amechanganyikiwa.
Ngoja aozee ulaya. Aliishapewa uraia huko, yeye akae atulie tu. Bahati nzuri au mbaya yeye huko ni msema ovyo. Anashirikiana na ndugu zake King Bedouin waliyomua Patrice Lumumba. Naskia kaanzishia kampuna ya kupora madini ya Kongo, na anasafiri mara kwa mara kama mkalimani. Aatgnalie asije akatekwa na majeshi ya upinzani ya Kongo (DRC) akamsingizia mama Suluhu. Lakini alipo sasa Lisu kapoteza kila kitu. Hana lolote wala chochote. Mradi kajitia ukimbizi, atajuta kwa nini alijipa ukimbizi. Leo nimemsikia akimkandia mama Suluhu. Magufuli kafarika sasa kahamia kwa Suluhu. Lakini yeye akae akijuwa Urais wa TZ atausikia tu, hataupata. Akiupata mimi nitakimbilia China au Urussi.
 
You mad Lisu leave our country alone Magufuli has done a lot in this country... when you were a member of the Parliament representing your people of Singida what did you for them?? lets start from here... i know you a pappet for those who want to come and still our natural resources in our beloved country Tanzania. In short I can say you will talk a lot sending such stupidit messages but ever ever for you tobecome the president of this Country. The Citizens of Tanzania know well about what Magufuli did for them. I know you are married as shoga there in Ubelgiji keep on serving your husbands and let our country alone. Mama Samia will keep on moving with the same spirit of HAPA KAZI TU and eventually we will reach our destiny where our late Hon. President Magufuli wanted us to be . so shut up please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…