Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ngoja aozee ulaya. Aliishapewa uraia huko, yeye akae atulie tu. Bahati nzuri au mbaya yeye huko ni msema ovyo. Anashirikiana na ndugu zake King Bedouin waliyomua Patrice Lumumba. Naskia kaanzishia kampuna ya kupora madini ya Kongo, na anasafiri mara kwa mara kama mkalimani. Aatgnalie asije akatekwa na majeshi ya upinzani ya Kongo (DRC) akamsingizia mama Suluhu. Lakini alipo sasa Lisu kapoteza kila kitu. Hana lolote wala chochote. Mradi kajitia ukimbizi, atajuta kwa nini alijipa ukimbizi. Leo nimemsikia akimkandia mama Suluhu. Magufuli kafarika sasa kahamia kwa Suluhu. Lakini yeye akae akijuwa Urais wa TZ atausikia tu, hataupata. Akiupata mimi nitakimbilia China au Urussi.
Siiioni sababu ya kumshutumu Tundu Lissu,,huyu jamaa ndie katupambania kujua maozo mengi tuliyokuwa twaaminishwa nayo.Sasa Kumshutumu nikukosa hekima,,,Tujitadhimini
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu

huwa nasema humu,mbowe ana akili sana na anajua siasa.

hata covid 19 wanapata maelekezo kwake.
 
Died with covid or not, you should stop writting a lot and challenging him. He might win while in coffin/grave through his followers and you might end up failing to visit your nation for the rest of your life.
Acha kutisha watu shetani mkubwa
 
Ngoja aozee ulaya. Aliishapewa uraia huko, yeye akae atulie tu. Bahati nzuri au mbaya yeye huko ni msema ovyo. Anashirikiana na ndugu zake King Bedouin waliyomua Patrice Lumumba. Naskia kaanzishia kampuna ya kupora madini ya Kongo, na anasafiri mara kwa mara kama mkalimani. Aatgnalie asije akatekwa na majeshi ya upinzani ya Kongo (DRC) akamsingizia mama Suluhu. Lakini alipo sasa Lisu kapoteza kila kitu. Hana lolote wala chochote. Mradi kajitia ukimbizi, atajuta kwa nini alijipa ukimbizi. Leo nimemsikia akimkandia mama Suluhu. Magufuli kafarika sasa kahamia kwa Suluhu. Lakini yeye akae akijuwa Urais wa TZ atausikia tu, hataupata. Akiupata mimi nitakimbilia China au Urussi.
Nakubalina na wewe ndoto ya kuwa raisi wa Nchi hii asahau ni mara kumi Jeshi kupewa nchi hii na sio Lisu..
 
You mad Lisu leave our country alone Magufuli has done a lot in this country... when you were a member of the Parliament representing your people of Singida what did you for them?? lets start from here... i know you a pappet for those who want to come and still our natural resources in our beloved country Tanzania. In short I can say you will talk a lot sending such stupidit messages but ever ever for you tobecome the president of this Country. The Citizens of Tanzania know well about what Magufuli did for them. I know you are married as shoga there in Ubelgiji keep on serving your husbands and let our country alone. Mama Samia will keep on moving with the same spirit of HAPA KAZI TU and eventually we will reach our destiny where our late Hon. President Magufuli wanted us to be . so shut up please.
What would you do, huna legacy yoyote unaleta maneno mingi tu hapa
 
Magufuli’s primary target had always been democracy, particularly the democratic opposition led by Chadema. In a nationally televised address on the 39th anniversary of CCM on 6 February 2016, he openly and bluntly promised to put an end to the opposition parties by the 2020 general elections.
Instead circumstances put him down! What a waste!
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Kule kijani walishangilia waziwazi. Hatujasahau
 
Kifo Cha Magufuli nilikijua Kabla Kabla Kabla hata Kabla Lissu hajajua,

Ubalozi wa China ulikuwa na una watu walionijuza Tarehe 8 . Hata Samia Kurekodi ile Clip akisaidiwa na Mabeyo wakaipost it wasn't easy

Kundi la Wahaya na Wasukuma lilitaka Jambo fulani kufanyika bila Kufuata taratibu na Katiba,

Pia Kuna jambo la Kujifunza kupitia quote hii ya Lissu

"I was the first to break the news that something strange was going on with Magufuli’s health. Following tips from credible sources in the United States and South Africa three days earlier, on 7 March, a Sunday, I tweeted that the president had not been seen in church that day, an unusual event for a president, whose weekly church attendances were the subject of live television coverage and an obligatory front-page story in all the major newspapers, both government-owned and privately held" by Lissu
Here
 
Itoshe tu kusema huyu keshajikatia tamaa na ndoto yake ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwanasiasa gani una-trigger emotions za hao unaotegemea kuja kuwaomba wakupigie kura?

Nilimuonea huruma sana alipopigwa risasi,nilichangia matibabu yake tena si zaidi ya mara moja. Lakini kukosa kwake uvumilivu ktk kipindi hiki,asahau Urais 2025.

Nina uhakika CDM wako smart enough kutokumruhusu tena huyu kuwa mgombea wao. Lisu jifunze kwa Mbowe, ungetoa pole tu na kukaa kimya ungescore Political milage mara 1000 kuliko huu upuuzi unaofanya. Umepoteza kura yangu endapo tu una ndoto ya kuja kugombea tena Urais.

Cc. JokaKuu
Nimejaribu kutafuta upuuzi katika andiko la Tundu Lissu, sijaona popote. Ila nimekuona wewe kuwa ndiye hasa mpuuzi kwa sababu hutaki kuheshimu uhuru wa maoni wa wenzako na maoni yao juu ya issues mbalimbali..

Tundu Lissu hajakulazimisha ukubaliane naye katika mtazamo wake juu ya John P Magufuli. Yeye anamuona hivyo. Ni vyema na wewe ukaandaa article yako useme vile umuonavyo huyu aliyetolewa maoni na TL. Acha tabia ya kung'akia wengine huku ukijiapiza kwenye mambo yasiyokuwa ktk uwezo wake kuyatenda, kuyafanya yatokee au kuyazuia yasiweze kutokea...

By the way, mtu aliyejaribu kukua au kukutoa uhai wako kwa risasi 37 za SMG na AK47 lakini Mungu Yehova akakuponya, unaweza kuwa na maoni gani juu yake? Hebu, ingia kwenye viatu vya Tundu Lissu Kisha nipe jibu haraka maana unasema tu kwa kuwa wewe uko kwenye kiyoyozi unakula bata...

Na nikuhakikishie Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili kabla hajaondoka duniani na kila goti litapigwa mbele yake na kila ulimi utakiri kuwa, WEWE BWANA MUNGU YEHOVA NJIA ZAKO, MAWAZO YAKO NI YA KIPEKEE NA KAMWE SI KAMA WAWAZAVYO WANADAMU..!
 
Tundu ataishia kuwa Kiongozi wa CHADEMA tu, hiyo ya Urais wa Tanzania ni ndoto ya mwendawazimu

Kwa mifumo ya nchi za Afrika hasa kipindi kama hiki, ni vigumu Tundu kuwa kupata Urais wa Tanzania. Watu walio kwenye mfumo, watafanya kila wawezalo kuzuia. Elewa neno "mfumo"
 
Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya ~~~ Magufuli.
Leo Lisu haruhusiwi hata kugombea urais na yuko jela
 
Back
Top Bottom