Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, the man who saw yesterday

Ila alivyo na nongwa sidhani Kama atakubali uteuzi bwana yule
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
. Lissu, in all spheres of political assessment, is purely a man who saw yesterday
Hey buddy! Seeing yesterday isn't a damn issue. Everyone (including you) sees it. Unless if you meant the opposite.
 
Mabo yatakuwa namuna hiyo
 

Attachments

  • VID-20201022-WA0166.mp4
    598.8 KB
Mr. Lissu, in all spheres of political assessment, is purely a man who saw yesterday. On contrary, his counterpart, President Magufuli, is a man who saw tomorrow. We celebrate them for their vision.
Niko Kwa aliyena mtazamo wa Tanzania ya kesho siyo huyo mwenye Tanzania ya Jana

Magu uko juuu, na nadhani kwamba, hakuna atakayeungana na mwenye maono ya Jana kuhusu Tz
 
Tundu is not a politician we need, and he will never achieve his dream to rule Tanzania
Asubiri kazi ndogo ndogo kama Ile nafasi bado ipo
Ubalozi au viti maaluum ina muhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…