Tundu Lissu tumia nguvu kubwa kutetea wafanyakazi

Tundu Lissu tumia nguvu kubwa kutetea wafanyakazi

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Tundu Lissu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa juhudi kama ulivyokuwa unawatetea Acacia wakati wakiibia madini watanzania hakika utabarikiwa sana

Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
 
Huwa mna penda T. Lissu wakati wa njaa zenu tu. Alipokuwa na manyanyaso mli muita msaliti. Kila mtu akale alipo peleka mboga yake
 
Tundu Lisu mwanaharakati wa mitandaoni. Kweli huwezi kumfananisha Mbowe na Tundu Lisu hata siku moja. Mbowe ni Jiwe. .
 
Tundu Lisu mwanaharakati wa mitandaoni. Kweli huwezi kumfananisha Mbowe na Tundu Lisu hata siku moja. Mbowe ni Jiwe. .
Alipata ziro form six
 
Tatizo la Binadamu ni Ubinafsi na Umimi..., Hivi unadhani mfanyakazi ni better off kuliko mkulima ? Au unadhani Machinga ukimpa hio kazi yako ataikataa au eneo la mkulima alime atakataa...; Ni kwamba Majority are worse off..., leo mfanyakazi akiongezewa peanuts anaanza kusifia na kusahau kwamba wengine wapo kwenye Shida...

Na hio Divide and Rule ndio watawala wanaitumia wakati nyie mnagombania Makombo wenyewe wanalamba Asali na muda unapita.., Kutamalaki miaka mpaka karne zinapita and nothing has change....
 
Back
Top Bottom