Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu.
Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa.
Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa.
Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya upinzani kuunganisha nguvu kudai Mazingira huru ya Uchaguzi na kuepuka kupeleka wagombea wao kuuawa, kuteswa na hata kuibiwa kura kama ilovyokuwa kwa miaka kadhaa.