Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Habari hizi zinaenea dunia nzima kwa kwa kasi sanaHotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu.
Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa.
Amemaliza kwa kusema Jambo la Mungu ni jambo la wengi na penye haki Taifa linainuliwa.
Hata hivyo amewaomba vyama vyote vya upinzani kuunganisha nguvu kudai Mazingira huru ya Uchaguzi na kuepuka kupeleka wagombea wao kuuawa, kuteswa na hata kuibiwa kura kama ilovyokuwa kwa miaka kadhaa.
Hakuna chama hapoMamilion tutabaki ccm, tutakosoana tutaumbuana tutasutana tutarekebishana ndani ya chama chetu!
MnakaribishwaDuh aiseee
Chadema ndio kuna chama!, siyo? / Niliwahi sema chadema piganieni wabunge 20 kwa uchaguzi 2025, DO NOT WASTE YOUR TIME.Hakuna chama hapo
We are not going to waste time. Nyie kajichagueni tu๐ ๐Chadema ndio kuna chama!, siyo? / Niliwahi sema chadema piganieni wabunge 20 kwa uchaguzi 2025, DO NOT WASTE YOUR TIME.
HahahaAku sihami๐๐
Hii nchi kweli kuna laana inafanya kazi,sio bure!!Chadema ndio kuna chama!, siyo? / Niliwahi sema chadema piganieni wabunge 20 kwa uchaguzi 2025, DO NOT WASTE YOUR TIME.
Kwanini Mkuu? Laana zipo. Tazama huyo mtoa commentHii nchi kweli kuna laana inafanya kazi,sio bure!!
Kwa mfano, unarekebisha vipi "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake"?Mamilion tutabaki ccm, tutakosoana tutaumbuana tutasutana tutarekebishana ndani ya chama chetu!
Mwana chadema wezesha chama chako changia uonyeshe uzalendo wa kweli, na siyo kubwabwaja maneno mengi,Kwanini Mkuu? Laana zipo. Tazama huyo mtoa comment
Hawezi ma yeye anavuta yakeKwa mfano, unarekebisha vipi "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake"?
Tutachanga sanaMwana chadema wezesha chama chako changia uonyeshe uzalendo wa kweli, na siyo kubwabwaja maneno mengi,
----->>>Changia ku-support harakati CHADEMA.Jina litasema M-Pesa CHADEMA HQ: 0744-446969
Changa ndugu kukijenga chama cha msingi mara uchangapo uache tabia mbaya ya kuhoji na kudadisi dadisi, kutoa ni moyo ๐Tutachanga sana
Sawa Mpwa wa mboweChanga ndugu kukijenga chama cha msingi mara uchangapo usihoji, kutoa ni moyo ๐