Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Ukiona mtoto anakuwa muongo, mwizi wa mboga, halafu maneno mengi jua ukubwani atakuwa kada wa ccm, usimtie moyo piga sana, charaza viboko.. Na chukua hatua mapema ....... !
 
Zaidi ya hayo Rais Kikwete anapaswa atambue kuwa mwisho wa siku Katiba itayozaliwa ni kwa maslahi ya Watanzania na wala sio wafurukutwa wa Chama kimoja cha siasa...
 
Ukiona mtoto anakuwa muongo, mwizi wa mboga, halafu maneno mengi jua ukubwani atakuwa kada wa ccm, usimtie moyo piga sana, charaza viboko.. Na chukua hatua mapema ....... !
Hahahaaaaa mkuu, umenikumbusha ya uzinifu wa Dr Slaa. Yaani kwa tafsiri yako ni kuwa chadema wote ni wazinzi kwa vile katibu mkuu wao ni mzinifu na mwenyekiti amesababisha mimba isiyokusudiwa na mtoto wa haramu.
 
Jk akizidi kuwa na Chuki dhidi ya Lissu ataumbuka...mbowe kamfundisha kuwa ujumbe ni wa chama na mimi namkumbusha akausome vyema akiwa ahana chuki kwa Lissu,ili kmm ana ch akuuliza basi akaulize CDM..
 
mbaya zaidi kama madaraka yenyewe yana sponsor(EPA's)! sasa maamuzi unasubiri wenyewe wana kuambia nini, hii inakupa wakati mgumu sana. serrikali moja wasemaji 10??
 
Hahahaaaaa mkuu, umenikumbusha ya uzinifu wa Dr Slaa. Yaani kwa tafsiri yako ni kuwa chadema wote ni wazinzi kwa vile katibu mkuu wao ni mzinifu na mwenyekiti amesababisha mimba isiyokusudiwa na mtoto wa haramu.

kweli ubongo wa marehemu unayo shida..... pamoja na kwamba Dr.Slaa hajafanya uzinzi..ila hata km angeufanya sidhani km uzinzi unaingiliana na chama.Inaelekea wewe ni muumini wa ile dini ya kuwalazimisha watu kufanya mapenzi km watakazvyo, kukojoa km watakavyo, kulazimisha watu wasfunge vipi na wafaungue vipi, kuwalazimisha watu wazikwe vipi..
 
Wapinzani tunaitaji wawepo lakini kwa maneno ya kina LISU watapeleka nchi siko ccm sikivu sana na tunataka aman
 
Inaelekea unawaza tumbo sana!. Kama Chabruma ni wa kike sawa. Samahani lakini.

Mkuu Kyaiyembe, mie nimeandika juu ya umuhimu wa kuwakirimu wageni wanapokuja kwako. hayo nilikuwa najibu hoja ya Ikulu kuwa mgahawa. kama kwenu hamkarimu wageni hilo sikulazimishi na wala halina uhusiano na jinsia ya mtu
 
"Chadema bado siyo imara"
By Dr. Slaa

Umewahi sikiliza kampuni ndogo za kimarekani....ni multibillion bongo...Kwa viwango vya CDM bado CDM ni ndogo..ila kwa maumivi wanavyopata CCM na viwango vyao duni ....CCM wanaiona CDM km mlima Everest.
 
Wapinzani tunaitaji wawepo lakini kwa maneno ya kina LISU watapeleka nchi siko ccm sikivu sana na tunataka aman

Mkuu, Tanzania hatuna wapinzani makini bali tuna genge la wahuni na wachumia tumbo tu
 
una uhakika kwamba suala la katiba siyo la kisiasa ? Hebu fafanua .
 
Mkuu Kyaiyembe, mie nimeandika juu ya umuhimu wa kuwakirimu wageni wanapokuja kwako. hayo nilikuwa najibu hoja ya Ikulu kuwa mgahawa. kama kwenu hamkarimu wageni hilo sikulazimishi na wala halina uhusiano na jinsia ya mtu
Ok japo sikuona mantiki ya kuwakrimu wageni katika mjadala huu, woote wanachangia hapa ni juu ya rais J. Kikwete kuwaita wapinzani ikulu kuwasikiliza kama wawakilishi wa wananchi.
Alafu mtu anasema wanaenda kunywa juice.
Hiyo ni dharau kwa Ikulu achilia mbali hao wahusika na jambo husika.
 
Kwa mana nyingine hotuba iliyotolewa na Rais wa Tz na mwenyekiti wa CCM pamoja na maneno yote yaliyoko kwenye hotuba hiyo ni yake mwenyewe kama KIKWETE na siyo ya watz na wala siyo ya CCM.Na hiki ndicho kinacho isumbuwa serekali iliyoko madarakani kiongozi yeyote anaweza akajisemea chochote kile anachokitaka ili muradi tu naye aonekane kuwa ameongea.Na hili limejidhihilisha kwenye muswada huu wa katiba ukifuatilia kila kiongozi ametoa tamko lake utafikri kwenye safu yao ya uongozi hakuna mawasiliano.Kutofautiana kwa matamko kumeifanya serekali ionekane kukosa nidham.
 
Ni bora Dr Slaa awe raisi kuliko Tundu Lisu kuingia bungeni----JK, 2010​

Mh. Rahis alijua Mziki wa Lissu si lelemama! Na bado! Viti vya sipika vinakimbiwa, Ikulu nayo haikaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…