Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi

Aache ufara uyo nchi ilishakombolewa tangu 1961 na kina nyerere ye anataka kutudanganya hapa anaikomboa nchi anaikomboa kutoka wapi, kwanza huyu mpuuzi ndo anataka apewe nchi airudishe kwenye mikono ya mabepari tena, aende akafie huko na ukilema wake maana naona tangu amepanguswa risasi akili hazijakaa sawa hadi leo
 
Hakuna ambalo mwamba huyu hakusema.
 
V
Vipi mambo ya tozo na mikopo kwa mabepari ameenda Lissu kukopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…