Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha.
Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru wa uchaguzi, Tume uhuru, Demokrasia, na Haki.
Soma Pia:
Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru wa uchaguzi, Tume uhuru, Demokrasia, na Haki.
Soma Pia:
- Tundu Lissu akiwa BBC: Kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa haki
- Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024