Pre GE2025 Tundu Lissu: Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nimewapa BAZECHA jukumu la kusaidia kuponya majeraha ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa Nipashe waliofika nyumbani kwake Jumapili iliyopita, Lissu alisema ameliachia Baraza la Wazee la Chama hicho (BAZECHA) kazi ya kuponya majeraha hayo ili kurejesha umoja ndani ya chama hicho.

“Tuna baraza la wazee ambao nimewapa jukumu la kusaidia kuponya majeraha, majeraha ya uchaguzi kama yalivyo majeraha mengine hayaponi siku moja” alisema Lissu.

“Kama hujawahi kushindwa uchaguzi huwezi kujua uchungu wa kushindwa uchaguzi” alisema.

Lissu alikiri uchaguzi wa viongozi ndani ya chama hicho uliofanyika Januari 21 mwaka huu umeacha majeraha makubwa.

Mtaalam huyo wa sheria pia alikiri majeraha hayo yatachukua muda mrefu kupona kwa kuwa baadhi ya majeraha kwa namna yalivyo hayawezi kupona mara moja kwa haraka ingawa imani yake ni kuwa muda utayaponya.

"Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nikikuuliza kama ulilala Januari 21 mwaka huu, utaniambia ulikesha kama nilivyokesha mimi. Taifa zima lilikesha kufuatilia uchaguzi wa CHADEMA. Sasa uchaguzi wa aina hiyo unakuwa na maumivu yake ukishindwa. Kwa hiyo kulikuwa na hiyo mikwaruzano, tumesema kwamba tuifanyie kazi na tunaifanyia kazi.

Source: Nipashe
 
Safi,kama kuna Jeraha litakalochukua muda mrefu kuliko kawaida liwahishwe ocean road kwa uangalizi zaidi
 
Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.

Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
 
Hapo sawa
 
Isije kuwa ocean road yako unayoshauri ni ule mtaa wa manyasi ya kijani kijani tu.Ikiwa ni ya ndani ya chama sawa.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa Nipashe waliofika nyumbani kwake Jumapili iliyopita, Lissu alisema ameliachia Baraza la Wazee la Chama hicho (BAZECHA) kazi ya kuponya majeraha hayo ili kurejesha umoja ndani ya chama hicho.

“Tuna baraza la wazee ambao nimewapa jukumu la kusaidia kuponya majeraha, majeraha ya uchaguzi kama yalivyo majeraha mengine hayaponi siku moja” alisema Lissu.

“Kama hujawahi kushindwa uchaguzi huwezi kujua uchungu wa kushindwa uchaguzi” alisema.

Lissu alikiri uchaguzi wa viongozi ndani ya chama hicho uliofanyika Januari 21 mwaka huu umeacha majeraha makubwa.

Mtaalam huyo wa sheria pia alikiri majeraha hayo yatachukua muda mrefu kupona kwa kuwa baadhi ya majeraha kwa namna yalivyo hayawezi kupona mara moja kwa haraka ingawa imani yake ni kuwa muda utayaponya.

"Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nikikuuliza kama ulilala Januari 21 mwaka huu, utaniambia ulikesha kama nilivyokesha mimi. Taifa zima lilikesha kufuatilia uchaguzi wa CHADEMA. Sasa uchaguzi wa aina hiyo unakuwa na maumivu yake ukishindwa. Kwa hiyo kulikuwa na hiyo mikwaruzano, tumesema kwamba tuifanyie kazi na tunaifanyia kazi.

Source: Nipashe
Tatizo hawa so called waandishi wa habari ni UPE, can not ask/pose critical question/thought stimulating to Lisu. Nimesikiliza interview , hopeless questions!
 
Alipokuwa anaropoka mapungufu ya viongozi wenzake na kutoa lawama za kijinga hakujua haya sasa vinamchachia anaanza kuelewa dhamana ya uongozi sio harakati pekee inahitaji umoja na mshikamano kwa unaowaongoza ili mfikie malengo yenu.

Mzee mzima kakausha kimya yupo zake China na hela zake mlizomtukania ingali aliwafaa sana na mkaweza kupanda kwenye majukwaa na kupata umaarufu kupitia pesa zake kwa sasa mnaelewa sasa tafuteni hela si mlidhani ni rahisi kiasi hicho?
Huyu nilikuwa namkubali ila ule upuuzi aliomfanyia Mbowe kumtukana namna ile nimemchukulia hovyo wa kawaida sana.Eti biashara gani hazina TIN mara waliopotea anahusika,pesa za mama Abdul,mara hela zinatoka kwenye mfuko wa mtu mmoja,kwa ujumla Lisu aponye kwanza majeraha kwa kuomba radhi hadharani,ule upuuzi aliofanya ni mkubwa mno.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa Nipashe waliofika nyumbani kwake Jumapili iliyopita, Lissu alisema ameliachia Baraza la Wazee la Chama hicho (BAZECHA) kazi ya kuponya majeraha hayo ili kurejesha umoja ndani ya chama hicho.

“Tuna baraza la wazee ambao nimewapa jukumu la kusaidia kuponya majeraha, majeraha ya uchaguzi kama yalivyo majeraha mengine hayaponi siku moja” alisema Lissu.

“Kama hujawahi kushindwa uchaguzi huwezi kujua uchungu wa kushindwa uchaguzi” alisema.

Lissu alikiri uchaguzi wa viongozi ndani ya chama hicho uliofanyika Januari 21 mwaka huu umeacha majeraha makubwa.

Mtaalam huyo wa sheria pia alikiri majeraha hayo yatachukua muda mrefu kupona kwa kuwa baadhi ya majeraha kwa namna yalivyo hayawezi kupona mara moja kwa haraka ingawa imani yake ni kuwa muda utayaponya.

"Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nikikuuliza kama ulilala Januari 21 mwaka huu, utaniambia ulikesha kama nilivyokesha mimi. Taifa zima lilikesha kufuatilia uchaguzi wa CHADEMA. Sasa uchaguzi wa aina hiyo unakuwa na maumivu yake ukishindwa. Kwa hiyo kulikuwa na hiyo mikwaruzano, tumesema kwamba tuifanyie kazi na tunaifanyia kazi.

Source: Nipashe
Umefanya siasa chafu sana
 
Kwa hio yeye atukane na kakuchifu watu afu wazee ndio wafanye kazi ya kutuliza ukali wa matusi yake?. Mbowe ni kweli alipaswa kuondoka ila siasa chafu iliyotumika kumtoa haikuwa sahihi.
 
Na pia wajikite kwenye kuwapa maarifa wanachama na watanzania kwa ujumla, maana kiwango cha ujinga nchi hii ni cha kustaajabisha!
Ni ujinga ujinga tu unaozalisha uchawa na watu wa aina hiyo.

Ujinga si tusi!
 
Huyu nilikuwa namkubali ila ule upuuzi aliomfanyia Mbowe kumtukana namna ile nimemchukulia hovyo wa kawaida sana.Eti biashara gani hazina TIN mara waliopotea anahusika,pesa za mama Abdul,mara hela zinatoka kwenye mfuko wa mtu mmoja,kwa ujumla Lisu aponye kwanza majeraha kwa kuomba radhi hadharani,ule upuuzi aliofanya ni mkubwa mno.

Wewe inaonekana ndiye mropokaji.

Lisu hakuwahi kutoa tusi lolote kwa yeyote, kama una ushahidi, uweke hapa tuuone.

Lisu mara nyingi alieleza yale ambayo anayaona hayapo sawa, ambayo yanamfanya Mwenyekiti aliyekuwepo kutofaa kukiongoza chama, lakini hakuwahi kumtukana. Na mara kadhaa alisema wazi kuwa anamheshimu na anautambua mchango wa Mbowe katika kuijenga CHADEMA, ila sasa apumzike.

Hayo ya kusema kuwa eti Lisu alisema kuwa Mbowe nahusika na wanaopotea, ni uwongo mkubwa. Alichosema Lisu ni kuwa anaona uongozi wa Mbowe haukufanya jititahidi za kutosha kuhusiana na wanaotekwa. Mtu pekee alitetajwa na Lisu kuhusiana na Abdul ni Heche.
 
Yule aliye

Yule aliyesema alimpa taarifa na alikuwa kamati kuu,hayupo tena Duniani.Wewe unafkri watu walikuwa wameziba maskio na macho.Yeye ajitokeze akanushe upuuzi wake.Usimtetee mtu aliyeshindwa kuheshimu wenzake kwamba atakuheshimu wewe.Clip zile zikiletwa hapa patakuwa na mtihani.
 
"Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nikikuuliza kama ulilala Januari 21 mwaka huu, utaniambia ulikesha kama nilivyokesha mimi. Taifa zima lilikesha kufuatilia uchaguzi wa CHADEMA.
Sasa tusubirie hali ya namna hiyo au zaidi ya wakati wa uchaguzi mkuu chini ya mabadiliko yanayo ruhusu "Uchaguzi HURU na HAKI; huku tukishuhudia anguko kuu la CCM ya Samia.
 
Yule aliyesema alimpa taarifa na alikuwa kamati kuu,hayupo tena Duniani.Wewe unafkri watu walikuwa wameziba maskio na macho.Yeye ajitokeze akanushe upuuzi wake.Usimtetee mtu aliyeshindwa kuheshimu wenzake kwamba atakuheshimu wewe.Clip zile zikiletwa hapa patakuwa na mtihani.
Akanushe kitu gani, kwamba huyo "aliyempa taarifa, ana alikuwa kamati kuu hayupo tena Duniani"? Kwani wewe umemwona lini huyo mtu; karudi tena duniani?
Kama wewe unaona "ulikuwa upuuzi na kushindwa kuwa na heshima kwa wenzake" tueleze wewe huyo mtu yupo wapi sasa hivi.
Kwa nini usiwahimize wanao jiheshimu, walio ahidi kufanya uchunguzi wa tukio hilo wakupe walicho pata kwenye uchunguzi wao!
Umesikia mtuhumiwa yeyote wa tukio lile akikamatwa na kufikishwa mbele ya sheria? Kwa nini usilalamikie hao?
 
Back
Top Bottom