Lile jitu lililokufa lilikua jambaziArudi nyumbani huyu mtanzania mwenzetu. Lakini na sie tunashauku ya kujua zaidi kuhusu zile breaking news za kifo cha Rais wetu alizokua anazitoa huko mitandaoni ughaibuni akijinasibu kua 'source' zake za uhakika zimemhakikishia kifo cha Rais wetu.
No, not at all. He is as good as ever! mtu mwingine anglisha acha kabisa siasa na kuchukua uraia wa belgium! Lisu ni wa pekee! He is always smilingKuna wakati Huwa nawaza risasi zile zimeleta athari Fulani ktk UBONGO wa Lissu.
exactly!Acha wa kutoka nje hata wa ndani hawakuruhusiwa
hakuan yeyote mwenye shida na huyo jamaa. trust me, hakuna. ila kwasababu yeye na lema, watoto wao wanasomeshwa ulaya, wanasubirisubiri kwanza wamalize shule ndio warudi. wakirudi huku watasoma shule zipi na ada wanalipiwa na wazungu? pia wanapata mshahara bila kufanya kazi. ndio maana wapo tayari hata kusaliti nchi almradi wao na watoto wao waishi.Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Another sganghakuan yeyote mwenye shida na huyo jamaa. trust me, hakuna. ila kwasababu yeye na lema, watoto wao wanasomeshwa ulaya, wanasubirisubiri kwanza wamalize shule ndio warudi. wakirudi huku watasoma shule zipi na ada wanalipiwa na wazungu? pia wanapata mshahara bila kufanya kazi. ndio maana wapo tayari hata kusaliti nchi almradi wao na watoto wao waishi.
Lissu angekuwa mbinafsi angekuwa Waziri Mkuu tangu enzi za Jk baada ya Lowasa kujiuzuluNo, not at all. He is as good as ever! mtu mwingine anglisha acha kabisa siasa na kuchukua uraia wa belgium! Lisu ni wa pekee! He is always smiling
Nijinyonge tena mkuu? Kwani kuna tatizo? Lissu aliyetaka kuongea na Rais faragha tofauti na watu wengine na ikawa hivyo na akatimiziwa yale aliyoyataka Rais amtekelezee na ikawa hivyo sasa hadi hapo kuna mtu hajatambua kuwa Lissu ni Spesho nchini? Hivyo si ajabu kwa mtu spesho kama Lissu kumtaka Rais amhakikishie usalama wake spesho ndio aje Tanzania la sivyo haji, binafsi uspesho wa Lissu nautambua toka muda mrefu ni mtu ambaye chochote atakacho kiongea kinakuwa ni kitu spesho chenye uhusiano moja kwa moja usomi wake wa sheria.NDIO NI SPECIAL, na nimeandika hiyo ndio kwa herufi kubwa. Hutaki jinyonge.
Sawa ni idea nzuri. Lkn ukumbuke maasi ktk nchi yoyote kama hakuna mamluki wa vyombo vya dola kuhusika hakuna anayeweza kumdhuru mtu mkubwa kama Lissu. Ndani ya chama hakuna.La kumdhuru si la kupuuzia ila pia kuna lingine. Kinachotaka kumleta ni kuanza kwa mpambano wa kisiasa jukwaani na chama tawala ambapo kwa umahii wake, wengi tunaamini ndie kiboko yao kuelekea CHAGUZI za 2024 na 2025. Mashaka yangu yapo ndani ya Chama chake. .viongozi na makada walio nchini,wanamkubali wote?! Naamini kuna hatari ya mpasuko unaoweza jitokeza kutoka kwa wanaoona hii ndio fursa ya uchaguzi ujao. Ushauri wangu: ASUBIRI, tupime upepo.
Hakika Lissu ni binaadamu spesho.Mungu yupo upande wake, ndio maana hadi leo yupo hai.
Tuko pamojaNijinyonge tena mkuu? Kwani kuna tatizo? Lissu aliyetaka kuongea na Rais faragha tofauti na watu wengine na ikawa hivyo na akatimiziwa yale aliyoyataka Rais amtekelezee na ikawa hivyo sasa hadi hapo kuna mtu hajatambua kuwa Lissu ni Spesho nchini? Hivyo si ajabu kwa mtu spesho kama Lissu kumtaka Rais amhakikishie usalama wake spesho ndio aje Tanzania la sivyo haji, binafsi uspesho wa Lissu nautambua toka muda mrefu ni mtu ambaye chochote atakacho kiongea kinakuwa ni kitu spesho chenye uhusiano moja kwa moja usomi wake wa sheria.
Lissu anaweza kabisa kuwa nabii maana anasikilizwa na watu na kila atakachosema kuwa kitatokea watu huamini bila shaka kuwa kweli kitatokea, hakika Lissu ni binaadamu spesho mimi ni nani hadi nipinge?
Labda uamuzi wa kumshambulia Lissu halikuwa suala la Magufuli na udikteta wake tu pengine ni zaidi tufikiriavyo ndio maana anataka kuhakikishiwa usalama wake kutoka kwa mkuu kabisa wa nchi.Sasa Magu hayupo mwaka wa 2 huu.. Vipi huyu mr Lisu anahofia kitu gani?
Ndio mkuu Lissu ni Nabii kabisa.Tuko pamoja
Shetani hajawahi kumshinda MunguMamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Hajafika level hiyo bado lakini nakubaliana na wewe ana upekee fulani.Ndio mkuu Lissu ni Nabii kabisa.
🤣🤣🤣Naona sasa ChawawaCcmmatumbo moto. WamesikiaLissu ana rudi wana tafuta visa
Shetani huwa hashindani na Mungu bali na waja wa Mungu.Shetani hajawahi kumshinda Mungu