Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Kwamba POLICE anaowatuhumu kumdhuru ndo wamuhakikishie USALAMA?

Akae huko huko sasa.
Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
 
Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!

Tz Bado hatujafikia huko, walinzi wa chama chake unatosha.
 
Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.

Kauli ya rais tu, maana shambulizi lake lilikuwa la kisiasa. Wamkudhuru wanapewa maagizo na huyo huyo rais.
 
Aaa wapi, Lisu alikuwa anamtaja Magufuli waziwazi kuhusu shambulio lake, na mazingira ya shambulio lake aliyeweka wazi. Hivi mnatuona ni watoto hatujui ukweli ni upi? Tena isitoshe wakati ule CDM walipendekeza kuletwe shirika binafsi la nje kufanya uchunguzi wa tukio lile, maana Taasisi za ndani zilishachagua upande kwenye shambulio lake, kwa kutaka ama kwa kulazimishwa.
Ni Lissu huyohuyo alisema ata kama mwenyekiti wake anahusika achukuluwe hatua!
 
Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!

Tz Bado hatujafikia huko, walinzi wa chama chake unatosha.
Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!

Tz Bado hatujafikia huko, walinzi wa chama chake unatosha.
Basi Rais awaambie hao wabaya wa Lissu wasimdhuru Lissu tena, yani Rais ahakikishe usalama wa Lissi kuwa haguswi.
 
Sasa mbona alirudi na akagombea Urais na kufanya kampeni nchi nzima?usalama wake ulikuaje kipindi hiko?
Wakati wa kugombea urais serikali uwa inashiriki kuhakikisha usalama wa wagombea
Pia dunia yote macho yalielekea kwenye kuona uchaguzi unavyoendelea,ivyo wale wahuni wasingeweza kumdhuru ktk mazingira hayo maana dunia nzima ilikuwa ina-monitor kinachoendelea kwenye kampeni.
Baada ya kampeni ndipo wakataka kumkamata lakini German embassy iliingilia kati na kumsafirisha Lissu nje.
 
Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.

Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.

Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
Aliyetaka kumwua alijulikana wazi. Na mwaka 2020 Lisu alipokuwa kwenye kampeni, Dunia nzima ilikuwa inafuatilia, ndiyo maana yule muuaji aliogopa kumfanyia chochote. Alikuwa akisubiri uchaguzi upite. Ndipo alipomwandalia kesi ya ugaidi. Bahati nzuri hata kwenye vyombo vya dola watu wazuri wapo, wakatoa taarifa kwa watu wa karibu wa Lisu.

Lisu alisaidiwa na mazingira ya uchaguzi na tabia ya udikteta wa marehemu. Akakimbilia ubalozi wa Ujerumani. Balozi za Ujerumani, Nordic countrues na US walipofanya uchunguzi wao na kujiridhisha kuwa kitisho cha usalama wa Lisu kilikuwa dhahiri, ndipo walipomsaudia kutoroka nchi.

Mastermind amekufa, lakini kundi lake bado lipo. Kwa sasa wapo kwenye nafasi nzyri zaidi kutekeleza uovu wake wakijua kuwa wakifanikiwa, lawama zote zitaenda kwa Rais wa sasa, bila ya wao kuhisiwa au kuguswa.

Lisu hata akirudi, ni lazima aishi kwa tahadhari kubwa. Aliyekufa ni mmoja tu, lakini wasaidizi wake bado wapo. Kaleman aliyeondoa CCTV camera bado yapo, Bashite aliyesimamia opereration iliyokusudia kufanya mauaji bado yupo. Kisanduk aliyefyatua risasi bado yupo. Na wengine waliokuwa kwenye hiyo operation kama akina Kingay, Musiba,bado wapo tele. Akina Jams waliosema wameandaa mpango wa mauaji ambao hautashindwa tena, bado wapo. Kwa hiyo, kimsingi ile timu ya mashetani, ukiondoa mkuu wao, wote bado wapo.
 
Huo ndio ukweli hata kama unataka kuongea kwa njia ya kubeza.
Naelewa kwamba siku zote Lissu ni mtu spesho ndio maana nikasema hata katika hili Lissu anahitaji kuhakikishiwa usalama wake moja kwa moja kutoka kwa Rais bila ya hivyo Lissu haji Tanzania, hivyo ni muendelezo wa uspesho wa Lissu hapa Tanzania.
 
Basi Rais awaambie hao wabaya wa Lissu wasimdhuru Lissu tena, yani Rais ahakikishe usalama wa Lissi kuwa haguswi.
Aache mambo meng arudi om, mbona MDUDE Nyangali tupo naye mtaani??

Yeye ni mwanadamu kama wengine.
 
Wakati wa kugombea urais serikali uwa inashiriki kuhakikisha usalama wa wagombea
Pia dunia yote macho yalielekea kwenye kuona uchaguzi unavyoendelea,ivyo wale wahuni wasingeweza kumdhuru ktk mazingira hayo maana dunia nzima ilikuwa ina-monitor kinachoendelea kwenye kampeni.
Baada ya kampeni ndipo wakataka kumkamata lakini German embassy iliingilia kati na kumsafirisha Lissu nje.
Wangemdhuru muda ule wa uchaguzi nini kingetokea?
 
Ni Lissu huyohuyo alisema ata kama mwenyekiti wake anahusika achukuluwe hatua!

Usidhani hatukujua aliongea hivyo kwa muktadha gani. Baada ya yeye kumtaja Magufuli, wakatokea wapotoshaji wengi ili kubadilisha ukweli wa tukio lile. Hivyo akasema uchunguzi ufanyike hata kama ni mwenyekiti wake ukweli usifichwe. Lakini hadi leo hakuna hatua yoyote maana muhusika alikuwa anafahamika na alikuwa juu ya katiba.
 
Naelewa kwamba siku zote Lissu ni mtu spesho ndio maana nikasema hata katika hili Lissu anahitaji kuhakikishiwa usalama wake moja kwa moja kutoka kwa Rais bila ya hivyo Lissu haji Tanzania, hivyo ni muendelezo wa uspesho wa Lissu hapa Tanzania.

NDIO NI SPECIAL, na nimeandika hiyo ndio kwa herufi kubwa. Hutaki jinyonge.
 
Back
Top Bottom