Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.
Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.
Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
Aliyetaka kumwua alijulikana wazi. Na mwaka 2020 Lisu alipokuwa kwenye kampeni, Dunia nzima ilikuwa inafuatilia, ndiyo maana yule muuaji aliogopa kumfanyia chochote. Alikuwa akisubiri uchaguzi upite. Ndipo alipomwandalia kesi ya ugaidi. Bahati nzuri hata kwenye vyombo vya dola watu wazuri wapo, wakatoa taarifa kwa watu wa karibu wa Lisu.
Lisu alisaidiwa na mazingira ya uchaguzi na tabia ya udikteta wa marehemu. Akakimbilia ubalozi wa Ujerumani. Balozi za Ujerumani, Nordic countrues na US walipofanya uchunguzi wao na kujiridhisha kuwa kitisho cha usalama wa Lisu kilikuwa dhahiri, ndipo walipomsaudia kutoroka nchi.
Mastermind amekufa, lakini kundi lake bado lipo. Kwa sasa wapo kwenye nafasi nzyri zaidi kutekeleza uovu wake wakijua kuwa wakifanikiwa, lawama zote zitaenda kwa Rais wa sasa, bila ya wao kuhisiwa au kuguswa.
Lisu hata akirudi, ni lazima aishi kwa tahadhari kubwa. Aliyekufa ni mmoja tu, lakini wasaidizi wake bado wapo. Kaleman aliyeondoa CCTV camera bado yapo, Bashite aliyesimamia opereration iliyokusudia kufanya mauaji bado yupo. Kisanduk aliyefyatua risasi bado yupo. Na wengine waliokuwa kwenye hiyo operation kama akina Kingay, Musiba,bado wapo tele. Akina Jams waliosema wameandaa mpango wa mauaji ambao hautashindwa tena, bado wapo. Kwa hiyo, kimsingi ile timu ya mashetani, ukiondoa mkuu wao, wote bado wapo.