Yes, uko sahihi. Hajawa nabii lakini ana upekee ambao ni nadra kuukuta kwa watanzania !Hajafika level hiyo bado lakini nakubaliana na wewe ana upekee fulani.
Neno lako lina matumaini makubwa. Lakini tahadhali ni muhimu sana!Hivi kila siku mambo haya haya! Nyakati za yule hayawani zimepita! hata kama kuna viroboto wake wapo! Kuna mbinu za kupambana nao! Lissu njoo nyumbani. Waoga wanakuhara tu! Wanajua mwakatozo siyo saizi yako hivyo wanaleta perepeta tu! Ni hivi TAL atalindwa na jamii yake!
Kwa kauli/andishi kama hilo lako, you might be an accomplice of Lisu's shooting!Haya mambo ndiyo hayatakiwi kwani wewe unawajuwa wabaya wake acha kumtisha. Ila naona hata yeye anapenda kukaa huko halafu ni kiongozi hivyo hata angepata uraisi bado angekaa huko, au anajuwa uraisi kama ubunge hapo tunge koma njoo tujenge taifa woga wa nini?
Wewe kweli nyau pori!sioni hatari yeyote kwa TL, hata nyakati zile pia sikuona shida yeyote kwa yeye kuraluliwa
kuna kitu kinaitwa maslahi ya Taifa.
haijalishi Rais ni nani, lakini ni jambo la hatari saana raia kuingilia maslahi ya Taifa gizani kwa ajili ya political mileage...
Waliosaini mikataba ya hovyo wamechezea sana maslahi ya taifa hili.
Mungu akisaidiwa na shetani aangamize ukoo wako wote mwaka huu kama ulivyomtakia Lisusioni hatari yeyote kwa TL, hata nyakati zile pia sikuona shida yeyote kwa yeye kuraluliwa
Mungu akisaidiwa na shetani aangamize ukoo wako wote mwaka huu kama ulivyomtakia Lisu
Dah!...Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Ila UKWELI ni hatari sana na una nguvu sana sana na tena ukute anayeusema anajua kutumia maneno vizuri.arudi ila asiguse hapa
View attachment 2478971
Hata sijui mwenzangu, tunangoja aje atuambie mwenyeweKwani unadhani humu kwenye taasisi zetu hakuna ndugu/marafiki/wapendwa/majirani zake ambao wanampenyezea taarifa!
Waliomdhuru wamekufa?Kwa hiyo anaogopa Samia atamdhuru?
Hakika Lissu ni binaadamu spesho.
Diwani Hana Madhara Kwa sasaMamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Hapana mie siwezi kupona ni Lissu tu ndio kaweza kuwa hai kwa sababu yeye si kama sisi yeye ni spesho.Kama sio special kapigwe ww risasi 16 kama utabaki hai.
Wakati ule Magufuli asingeweza kumtumia wauaji tena kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ilikuwa inamumlika kwa kitendo chake cha kutaka kumuua Tundu Lissu.Aliporudi wakati wa uchaguzi tena anko Magu akiwepo, nani alimgusa?? Sembuse wkt huu wa Maza Tozo?
Tuache kujenga hofu zisizo na faida, aje aijenge nchi yake!
Kwani njia ya kuuwa ni moja tu ya kutumia mibunduki?Wakati ule Magufuli asingeweza kumtumia wauaji tena kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ilikuwa inamumlika kwa kitendo chake cha kutaka kumuua Tundu Lissu.
Njia ya kuroga ilishindanakana maana walitaka wamuwekee sumu kwenye chakula au kinywaji wakashindwa wakaamua kutumia mibunduki.Kwani njia ya kuuwa ni moja tu ya kutumia mibunduki?
Njia ya mibunduki tumeona, sasa hiyo ya uchawi na sumu zimefanyika lini? Lini Lissu alikoswa na sumu kwenye chakula?Njia ya kuroga ilishindanakana maana walitaka wamuwekee sumu kwenye chakula au kinywaji wakashindwa wakaamua kutumia mibunduki.