Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Hivi kila siku mambo haya haya! Nyakati za yule hayawani zimepita! hata kama kuna viroboto wake wapo! Kuna mbinu za kupambana nao! Lissu njoo nyumbani. Waoga wanakuhara tu! Wanajua mwakatozo siyo saizi yako hivyo wanaleta perepeta tu! Ni hivi TAL atalindwa na jamii yake!
 
Neno lako lina matumaini makubwa. Lakini tahadhali ni muhimu sana!
 
Haya mambo ndiyo hayatakiwi kwani wewe unawajuwa wabaya wake acha kumtisha. Ila naona hata yeye anapenda kukaa huko halafu ni kiongozi hivyo hata angepata uraisi bado angekaa huko, au anajuwa uraisi kama ubunge hapo tunge koma njoo tujenge taifa woga wa nini?
Kwa kauli/andishi kama hilo lako, you might be an accomplice of Lisu's shooting!
 
Waliosaini mikataba ya hovyo wamechezea sana maslahi ya taifa hili.
kuna kitu kinaitwa maslahi ya Taifa.
haijalishi Rais ni nani, lakini ni jambo la hatari saana raia kuingilia maslahi ya Taifa gizani kwa ajili ya political mileage...
 
Waliosaini mikataba ya hovyo wamechezea sana maslahi ya taifa hili.

Yah nikweli, ipo siku yao nao watachezea kichapo.... binafsi nikiwa Rais nitafirisi kila utajiri uliotokana na kufisadi nchi, watakaokuwa hai wataenda kufia jela
 
sioni hatari yeyote kwa TL, hata nyakati zile pia sikuona shida yeyote kwa yeye kuraluliwa
Mungu akisaidiwa na shetani aangamize ukoo wako wote mwaka huu kama ulivyomtakia Lisu
 
Mungu akisaidiwa na shetani aangamize ukoo wako wote mwaka huu kama ulivyomtakia Lisu

huwezi kuyajua ya gizani.... Mwenyezi Mungu hawezi kusaidiwa kazi na shetani hata siku moja...labda mungu wako.

Zile documents alizokuwa anaomba kwakina Mwanyika na wenzie kumgeuka na hata kuzawadiwa ubunge kwa kukubali kuiokoa nchi na lile zimwi la ACACIA.

Ungekuwa unajua ACACIA ni mali yakina nani na ilikuwa inafanya nini na wanasheria wake pale IMMA akina Shangazi basi siajabu ungekuwa wakwanza kukitia moto kichaka.
 
Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Dah!...
 
Ila UKWELI ni hatari sana na una nguvu sana sana na tena ukute anayeusema anajua kutumia maneno vizuri.

Kwa kutumia maneno tu hapa, Lissu aliwashinda watu wenye majeshi na kila aina ya nguvu na mamlaka. Waone wanavyomuangalia na kumsikiliza, hawaamini wanachoshuhudia.

Najua mambo mengine ni siri za nchi ila Serikali ingetafuta namna ya kusema ukweli juu ya jambo hili na kuuweka wazi ili hili jambo tulimalize. Kama makosa yalifanyika ukweli utatusaidia ili yasirudiwe siku za mbele. Ukweli utawaweka na kuliweka taifa huru.

Njia ya ukweli pamoja na kuwa na maumivu ya muda mfupi ndiyo njia salama na yenye kuleta amani ya muda mrefu. Tuseme ukweli.
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Diwani Hana Madhara Kwa sasa
 
Aliporudi wakati wa uchaguzi tena anko Magu akiwepo, nani alimgusa?? Sembuse wkt huu wa Maza Tozo?

Tuache kujenga hofu zisizo na faida, aje aijenge nchi yake!
Wakati ule Magufuli asingeweza kumtumia wauaji tena kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ilikuwa inamumlika kwa kitendo chake cha kutaka kumuua Tundu Lissu.
 
Wakati ule Magufuli asingeweza kumtumia wauaji tena kwa kuwa jumuiya ya kimataifa ilikuwa inamumlika kwa kitendo chake cha kutaka kumuua Tundu Lissu.
Kwani njia ya kuuwa ni moja tu ya kutumia mibunduki?
 
Kwani njia ya kuuwa ni moja tu ya kutumia mibunduki?
Njia ya kuroga ilishindanakana maana walitaka wamuwekee sumu kwenye chakula au kinywaji wakashindwa wakaamua kutumia mibunduki.
 
Njia ya kuroga ilishindanakana maana walitaka wamuwekee sumu kwenye chakula au kinywaji wakashindwa wakaamua kutumia mibunduki.
Njia ya mibunduki tumeona, sasa hiyo ya uchawi na sumu zimefanyika lini? Lini Lissu alikoswa na sumu kwenye chakula?
 
Back
Top Bottom