The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika mkutano wake wa hadhara wilayani Tarime mkoani Mara amesema mwanachama atakayempigia simu akilalamika kwamba hawajamtangaza mgombea wao ambaye ameshinda, "nitakuuliza umewafanya nini? umempiga ngeu kiasi gani"
Soma pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024